Labda ni mtazamo wangu ila naiona Tanzania ni nchi isiyokua na yenye kuzorota kadri miaka inavyosonga mbele

Labda ni mtazamo wangu ila naiona Tanzania ni nchi isiyokua na yenye kuzorota kadri miaka inavyosonga mbele

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Achilia mbali ongezeko la idadi ya watu, Tanzania ni nchi ya ajabu kwenye karibia nyanja zote inachechemea, mfano viongozi wenye kumbukumbu za kitaifa toka uhuru ni mabubu, mazezeta, wanapigwa mkwara na vigedere vya juzijuzi.

Taasisi za muhimu zimekuwa machawa, nyanja za uchumi uwezo wa kifedha wa nchi ni hamna kitu, gharama za maisha ni kiberenge, kilimo hovyo, uuzaji bidhaa nje ya Nchi sifuri, ushawishi wa diplomasia sifuri, siasa hovyo, bunge hovyo, Mahakama hovyo, serikali hovyo (Kila kitu tumsaidie Rais) Rais mwenyewe sio wa kupigiwa kura, police hovyo, jeshi hovyo sio kama zamani, elimu hovyo, hali ya uchumi wa Raia hovyo, ukarimu na maadili hovyo, umri wa kuishi kiduchu, ujinga mwingi, tabia za hovyo zinaongezeka.

Napata hasira niishie hapa raia hawana uchungu na taifa wamekata tamaa.

Ni hayo tu mengine ongezeni.

Wadiz
 
Back
Top Bottom