Peter Fabian
Member
- Jul 18, 2011
- 73
- 7
Kijana..., hauko serious, una tembo card master card?Unachafua hali ya hewa humu................
Tafanya ivo sana!Nakushauri tumia muda wako mwingi usome shule kwanza..................
Hilo we lisikusumbue akili na uwezo wa darasani ninaowakutosha,hata baraza wafanye nini lazima niweke heshima!Nenda "Facebook" utakutana na "wenzako"! Naona wewe hata Form IV hujamaliza, uko "busy" na kutafuta marafiki! shame!
Hilo we lisikusumbue akili na uwezo wa darasani ninaowakutosha,hata baraza wafanye nini lazima niweke heshima!