Labda ni wewe fungua uone!

Labda ni wewe fungua uone!

Status
Not open for further replies.

Peter Fabian

Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
73
Reaction score
7
Dizain natafuta marafiki wakupiga nao stori na kutembeleana, kula pamoja na hata kushauriana nyinginezo!MASHARITI:Wavulana waanzie umri wa miaka 18-23,Wasichana 15-22,Wawe wanajua kupendeza angalau kidogo,elimu angalau form 1-nakuendelea,pia ustarabu ni kigezo cha muhimu!itakuwa poa zaidi awe maeneo ya Kilimanjaro,Arusha,Tanga au mwenye mahusiano na maeneo hayo!usibeep kama umeona unastahili kuwa rafiki yangu mpya 0715932888!KARIBU SANA
 
Wewe, kwa nini unaweka masharti magumu hivyo? unaona sasa umetuachisha ulaji!
 
Nenda "Facebook" utakutana na "wenzako"!

Naona wewe hata Form IV hujamaliza, uko "busy" na kutafuta marafiki! shame!
 
kama una dada mzuri kuanzia miaka 18-22 me niko tayari tuwe marafiki kama YES bipu no 0713144562 nitakutumia vocha ili tuongee na tufahamiane.
 
Nenda "Facebook" utakutana na "wenzako"! Naona wewe hata Form IV hujamaliza, uko "busy" na kutafuta marafiki! shame!
Hilo we lisikusumbue akili na uwezo wa darasani ninaowakutosha,hata baraza wafanye nini lazima niweke heshima!
 
Nasikitika kuona wajinga wa FB wanavamia JF!Naumia sana.
 
Hilo we lisikusumbue akili na uwezo wa darasani ninaowakutosha,hata baraza wafanye nini lazima niweke heshima!

Yaani wewe kipimo chako cha ufahamu wa maisha ni "baraza" - DotCom mnaovalia suruali chini ya ma ta ko mna matatizo sana!
 
Dogo heshima haitangazwi stendi huja automatically hata Lukansola anajua hilo. Soma kwanza raha 2chie cc. masomo mema ufike kunakostahili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom