Kocha,wanatakiwa kukaa na kocha muda,siyo kubadili kama boksaKwa nini ni miaka 13 ya kutaabika wakati ubora na ukuu ndio ulikuwa sehemu ya utamaduni wetu?
Sasa wanaomba samahani wakati point anabaki nazo Man City ujinga ujinga tu bora wangenyamazaHuoni VAR LEADERSHIP WAMEOMBA SAMAHANI
Kwa ushindani uliopo kujenga timu yenye kushinda kwa mwendelezo ni jambo gumu sana. Ingawa kuna tatizo la Team work hasa timu ikiwa haina Mpira. Hili linatugharimu sanaKwa nini ni miaka 13 ya kutaabika wakati ubora na ukuu ndio ulikuwa sehemu ya utamaduni wetu?
Man U mbali sana kiongozi. Ungeuliza shida iliyopo kwenye Elimu ya Tz ingekuwa okayKwa nini ni miaka 13 ya kutaabika wakati ubora na ukuu ndio ulikuwa sehemu ya utamaduni wetu?
Kuimba kupokezanaMiaka 13 mbona bado kidogo,tulia hadi utaota umvi bila kikombe
Umegusia penyewe. Mnahitaji muda mjenge timu.Kwa ushindani uliopo kujenga timu yenye kushinda kwa mwendelezo ni jambo gumu sana. Ingawa kuna tatizo la Team work hasa timu ikiwa haina Mpira. Hili linatugharimu sana
Kocha hafiki Christmas.Kwa nini ni miaka 13 ya kutaabika wakati ubora na ukuu ndio ulikuwa sehemu ya utamaduni wetu?