Labda nyie mnisaidie kujua, shida kuu iliopo Manchester United ni ipi?

Hawana kocha mwenye mbinu za ushindi...huwezi kuchukua watu kama kina carrick ambao Cv yao kubwa ni kufubdisha Middlesbrough ambayo alishindwa hata kuipa promotion back to Epl halafu ndio awe coach wa timu kubwa kama Man utd...Waingie sokoni wakamchukue Cesc Fabregas au Antonio Conte
 
Kuimba ni kupokezana. Kama isssue ni utamaduni, basi Newcastle, Leeds, Astonvilla na Liverpool basi wangeendeleza ubabe. Na ninyi msingefikia hapa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…