Labda sijui kutongoza sababu ya aibu nilizo nazo

Labda sijui kutongoza sababu ya aibu nilizo nazo

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kaka yenu nakuja tena nikiomba msaada. Unajua mazingira niliyozaliwa mimi tulizaliwa wawili tu wote wa kiume. Basi tumekua tukicheza wenyewe mpaka watu wakawa wanadhani mapacha.

Mimi nmeanza shule mpaka namaliza sijawahi fanya sex. Nimeenda chuo ndo nikaanza jambo hilo tena siku za mwanzo ilikuwa shida sana.maana sikuwa hata najua wapi pa kuingiza.

Huwezi amini nikiwa na miaka 30+ ndo nmekuja gundua kuwa mwanamke anapoenda haja ndogo mkojo hautokei kwenye clitoris. Miaka yote najua ile clitoris ndo sehemu ya kutolea mkojo.

Kaka yenu mnaweza ona sometimes najitamba lize. Ila sina lolote kwenye suala la wasichana.nina aibu sana.ni tatizo la toka utotoni.siwezi mtizama msichana machoni hivi tukatizamana.ntaangalia chini.

Jambo hili linanipa woga sana kutongoza. Ninapenda na nina uwezo wa kuwa na msichana mzuri lakini nashindwa jiamini kumtongoza.mpaka msichana mwenyewe awe jasiri aniongoze njia.

Huwa nashindwa kuanza bembeleza msichana.nawaza why should i do that?mbona mi mwenyewe ni handsome?why msichana atake nimbembeleze wakati wote tunahitajiana. Nakosa mistari kabisa.

So namwambia tu. Napenda tuwe wapenzi. Akinambia unajua ninyi wanaume au sijui mbona umekuwa direct sana.nakosa majibu.basi ndo ntanyamaza tu maskini.

Sometimes naweza mwonesha msichana nampenda nikitegemea kama kwenye movies naye aanze nipenda ili siku moja tu nimkiss tuwe wapenzi.nakuta hilo kwa hawa wa bongo inakuwa ngumu.

Kipindi flani niliteseka sana chuo.nakaa na msichana hata miezi tunaenda kula ,kutembea n.k siku zinaenda tu mara msichana anaanza nikwepa nakuta kachukuliwa na jamaa mwingine.

Nimeenda Dodoma nimekaa siku zote naona watoto wakali nashindwa niwaanzaje?na ukichukulia wengi huishia kutaka spend vijicent kidogo navyokuwa navyo.

Nimerudi Dar nakutana na changamoto hizo hizo. Mademu wakali nakutana nao but naanzaje wasemesha? Inaniumiza sana. Naona madogo wengine hawana hata mvuto ila wana drive trailers kali tu za kisasa.mimi daaahh.....nabaki tu mpweke. Sielewi nifanye nini wadogo zangu. Na umri umeenda sana.

Mimi napenda wanawake wenye hips na makalio ya wastan. Ila hips napenda sana.pia mwanamke mstaarabu mpole, mcheshi.asiwe kama hawa ambao nakutana nao kila mara wa kutaka ku spend tu. Nimeshachoka hayo maisha.
 
Huyo Mwenzio nae ni Kama ww au yeye kachangamka kdg?

Kwanza.. usijione wa Tofauti sana.. Shukuru Mungu, then HAWA Wanawake sio wa Kuomba sana waje ktk Maisha yako.. ni viumbe vya Ajabu sana.. endelea tu hivyo hivyo I wish ningekuw kama ww.. ila ndio hivyo Tena Papuchi zishakaa ktk DNA
 
Nimekupata mkuu, unasema unaona haibu kutizamana na msichana usoni unabaki unaangalia chni....je, unapenda wanaume? Au kwa kifupi, ukiongea na mwanamme huoni haibu?
 
Pombe unakunywa?

Embu jaribu siku utashngaa hata mistari inakotokea😀😀😀
 
mbona kutongoza ni kitu rahisi jamani, siku hizi unamwambia tu demu kwenye simu “nakupenda” anakwambia ana mtu, unakomaa nae kila siku usiku kwa muda wa week moja hivi mwisho anakubali
siku mnakutana ashakuwa demu wako wala humuogopi
NB
kama una aibu ,hujiamini usimtongoze uso kwa uso
 
Back
Top Bottom