Labda uwe Mcha Mungu wa kweli unaweza ukaachia madaraka Tanzania

Labda uwe Mcha Mungu wa kweli unaweza ukaachia madaraka Tanzania

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Huwezi kuacha madaraka ukakosa hivi nchini Tanzania
1. Posho
2. Usafiri mzuri
3. Ulinzi wa kutosha
4. Mahitaji yote free
Ukiwa mbunge, waziri au cheo chochote hivyo ni matunda
Labda uwe mchamungu wa kweli kweli ndio uachie hayo
 
Nchi zilizoendelea wanawezaje wao? Au sio binadam wale?
 
Huwezi kuacha madaraka ukakosa hivi nchini Tanzania
1. Posho
2. Usafiri mzuri
3. Ulinzi wa kutosha
4. Mahitaji yote free
Ukiwa mbunge, waziri au cheo chochote hivyo ni matunda
Labda uwe mchamungu wa kweli kweli ndio uachie hayo
Ni mfumo tu mbovu. Tukiwa na KATIBA bora na imara inayosisitiza uwajibikaji bila kujali cheo chako, watu watakuwa wanaachia madaraka wenyewe bila kulazimishwa kwa hofu ya kutiwa hatiani na hata kufungwa kwa kutotii katiba.
 
Ndo mana babu yetu wasira hana hata plan ya kuachiaga viti...
 
Uongozi wa nchi sio suala la mtu binafsi kuamua, mfumo unafanya analysis ya vyama vyote na uongozi wake kuvipima uimara wake wa kukabidhiwa nchi. Kama chama sio imara, hata kama kina kinakubalika saiti kiasi gani, mfumo uko tayari kukichekecha.

Sasa hawa chadema wanavyovurugana ndio tungewapa nchi 2020? Nchi lazima iyumbe.

Hayo makaratasi ya kura ni ceremonial declarations tu ambayo hayaathiri critical analysis na maamuzi ya deep state
 
Back
Top Bottom