Labda "Who Shot Ya" haikuwa kwa ajili ya Pac ila Diddy alifanya kosa ku-release wimbo mapema baada ya Pac kupigwa risasi akijua italeta mtafaruku

Labda "Who Shot Ya" haikuwa kwa ajili ya Pac ila Diddy alifanya kosa ku-release wimbo mapema baada ya Pac kupigwa risasi akijua italeta mtafaruku

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Baada ya miaka mingi ndio sasa tunaanza kumuelewa Diddy na janja janja zake.

Wakati wanajua namna pac alivyokuwa analalamika kwa kuwaanganisha bad boys na tukio lake kupigwa ila bado waka toa wimbo wenye maudhui ya violence.

Diddy alitaka apate attention zaidi kwa maswahibu ya Pac bila kujua alikuwa anachochea moto ugomvi ulioleta maafa kwa vijana wadogo wawili waliokuwa maswahiba sana.

Karma is a b**ch
 
Back
Top Bottom