Kwanini mwajiriwa akiwa katika probation huweza kunyanyaswa na kutishiwa hali ya kuwa swala la probesheni ni acceptance ya mwajiri? Katika sheria za mikataba kama zinzvyo fanana fanana na sheria za ajira hasa ktk swala la mkataba, offer na acceptamce ni ishu kubwa.Lakini ktk ajira acceptance ni probeshen ambayo wahusika pande zote mbili wakishindwana hasa mwajiriwwa huondolewa bila kitu? remedy ya anaye kubali ni ipi?