labor law

labor law

banywanenyuma

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
53
Reaction score
20
Kwanini mwajiriwa akiwa katika probation huweza kunyanyaswa na kutishiwa hali ya kuwa swala la probesheni ni acceptance ya mwajiri? Katika sheria za mikataba kama zinzvyo fanana fanana na sheria za ajira hasa ktk swala la mkataba, offer na acceptamce ni ishu kubwa.Lakini ktk ajira acceptance ni probeshen ambayo wahusika pande zote mbili wakishindwana hasa mwajiriwwa huondolewa bila kitu? remedy ya anaye kubali ni ipi?
 
embu li paraphrase vizuri swali lako maana nahisi nashindwa kulielewa vizuri...
 
Rejea employment and labour relations act 2004 unfair termination sec 37 sub sec 2 to 5,sec 38 to sec 44 hope utapata majibu.
 
Back
Top Bottom