Laboratory Science and Technology

Kwetu Mz

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
21
Reaction score
3
Habari za mchana wana JF?Jamani nisaidieni, hii Laboratory Technology ipo vipi ktk ajira?
 
ajira ipi? mbona sjawahi kuskia hiyo kitu inafanya kazi? wacha upumbavu wewe. ukiambiwa haipo kabisa utafanyaje? hukuchagua kitu unachopenda ulichagua misifa uonekane Mendel
 
Nashukuru bwana kibaka ila leo mie niita mpumbavu lakini nawe ipo siku watakuita mungu anajua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…