Habarini humu ndani,samahani ningependa kufahamu hizi private sector hua zinatumia sheria gani za kazi,je ni kama zile zinzotumiwa na public organizatio?
Labour law zina apply private & gvt
Hakuna mtu anaijichagulia sheria ila kwenye migogoro huwa wana sehemu zao za kusuruhisha kabla ya kwenda mahakamani ila
Ulitoka kwenda mkoa mwingine bila barua ya transfer kutoka Kwa mwajiri cause kwenye barua hiyo ndo kunaandikwa transfer benefit na kama hauna barua basi huna haki.