Labour laws zinazotumika na private sector

Labour laws zinazotumika na private sector

kijanamimi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Posts
245
Reaction score
174
Habarini humu ndani,samahani ningependa kufahamu hizi private sector hua zinatumia sheria gani za kazi,je ni kama zile zinzotumiwa na public organizatio?
 
mkuu sio kuwa wewe ndo umeomba uhamisho
 
Sheria ni moja, isome vema, tafakari chukua hatua!
 
Labour law zina apply private & gvt
Hakuna mtu anaijichagulia sheria ila kwenye migogoro huwa wana sehemu zao za kusuruhisha kabla ya kwenda mahakamani ila
 
Ulitoka kwenda mkoa mwingine bila barua ya transfer kutoka Kwa mwajiri cause kwenye barua hiyo ndo kunaandikwa transfer benefit na kama hauna barua basi huna haki.
 
Back
Top Bottom