Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Liverpool na fukuza yao ya makocha mwaka wa 20 sasaMiaka karibia 14 mnatafuta ubingwa na huyo mzee wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liverpool na fukuza yao ya makocha mwaka wa 20 sasaMiaka karibia 14 mnatafuta ubingwa na huyo mzee wenu
Safi, babu na Gazidis waendeleze mapambano, mbona wallet ya [HASHTAG]#Gunners[/HASHTAG] imefura tuu!David ornstein wengi nadhani mnajua huwa hatoi taarifa ya uongo mara nyingi habari zake zinakuwa za kweli kwenye page yake amepost kuwa arsenal wanakaribia kumnasa lacazzete kila kitu wameshakubaliana yan klabu na mchezaj bado medical na kusaini tu.mm nimeshafunga mjadala wa lacazzete ni mali yetu huyu tayari namsubiri Thomas Lemar, niwakumbushe ornstein ndie aliyetoa habari za ozil, sanchez, debuchy, xhaka na zote zikawa kweli![]()