haina umuhimu wala ulazima wowote ikiwa pembeni kuna bendera ya TaifaKutokana umuhimu wa hotuba za Rais, pale anapohutubia, katika sehemu maalum, yaani podium, ni vyema kabisa iwe na nembo ya Taifa yenye kuakisi uhalisia wa asili wa rangi zake. Uwepo wa rangi zisizo hakisi uhalisia huondoa kabisa kusudio halisi za uwepo wa rangi husiko.
Katiba ya 1977 inazitaja alama za Taifa kuwa ni: Bendera ya Taifa, Wimbo wa Taifa, na Nembo ya Taifa.
Maelezo kamili ya Nembo ya Taifa pamoja na alama na rangi zake yanapatikana kwenye Sheria ya Alama za Taifa, Sura 10 na Kanuni za Alama za Taifa. Hizi ndizo zinatoa mamlaka ya kisheria kwa nembo hii ya Taifa. Inatumika kwenye nyaraka rasmi za serikali, pasipoti, sarafu, na majengo ya umma kama ishara ya mamlaka.
Maana ya alama
a. Ngao ni "Ulinzi wa Taifa"
b. Mwenge ni "Uhuru na mwanga wa elimu"
c. Mkuki na Jembe ni "Ulinzi na kazi"
d. Pembe za Ndovu ni "Maliasili na wanyamapori"
e. Mlima Kilimanjaro ni "Fahari ya Taifa"
f. Mwanaume na Mwanamke ni "Usawa wa kijinsia"
g. Pamba na Karafuu ni "Uchumi wa Bara na Zanzibar"
h. Uhuru na Umoja ni "Kauli mbiu ya Taifa"
Ni kosa la jinai kuitumia nembo vibaya au bila kibali - adhabu yake ni faini au kifungo. Inatumika tu na taasisi za serikali, balozi, na nyaraka rasmi.
Nembo ya Taifa ni muhuri wenye saini ya nchi, na ikionekana kwenye hati, maana yake ni hati rasmi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
haina umuhimu wala ulazima wowote ikiwa pembeni kuna bendera ya Taifa
hata hivyo,
ikiwa unazifahamu tayari rangi za bendera na ya ngao ya taifa, unaweza kuziweka pale saikolojikali na mambo yakaisha tu bila kuziona phisikali.
suala la kiongozi mpya wa nchi kuiga kila kitu kwa kwa kiongozi aliepita halipo gentleman,Mkuu, kumbuka kuwa Katiba ya 1977 inazitaja alama za Taifa kuwa ni: Bendera ya Taifa, Wimbo wa Taifa, na Nembo ya Taifa.
Je! Katiba yetu imeipa Bendera ya taifa hadhi ya ukuu kuliko Nembo ya Taifa? Vipi kuhusu Sheria ya Alama za Taifa, Sura 10 na Kanuni za Alama za Taifa?
Mkuu, kabla hujakurupuka kujibu hoja iliyopo, jikite kwanza kujua mantiki na maudhui yaliyotolewa na mleta hoja.
Kwa nini mnahangaika na majitu ya hovyo?Kutokana umuhimu wa hotuba za Rais, pale anapohutubia, katika sehemu maalum, yaani podium, ni vyema kabisa iwe na nembo ya Taifa yenye kuakisi uhalisia wa asili wa rangi zake. Uwepo wa rangi zisizo hakisi uhalisia huondoa kabisa kusudio halisi za uwepo wa rangi husiko.