dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #41
Jmaa wale wanakeraa sna cloud wanajionaga wajuaji sna kila kitu wanajuwashafi kweli ni tapeli,muongo,mjinga na mpuuzi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jmaa wale wanakeraa sna cloud wanajionaga wajuaji sna kila kitu wanajuwashafi kweli ni tapeli,muongo,mjinga na mpuuzi sana
Ndio .maana tff walimfungia kujishughulisha na mpira Ni mtu mjinga snaa na mpuuzi wa kiwango chakeSasa na ndambi ile anashindwaje kuwa na roho ya korosho
Atuambie ramadhani singano mpaka sasa alimsaidia nini alimpomtoa simba kinafki
Dauda mpigaji kumbe!Unashindwa kuelewa wanaompinga Shaffih sio Wasafi wala Kitenge
Ni mawakala wa mchezaji na mchezaji mwenyewe.
Shaffih Dauda alikuwa anafosi kupata commission kwa kutaka Chasambi asajiliwe na timu kupitia foundation yake.
Shaffih Dauda alikuja na dili feki na akasimama kama middle man lakini management ya mchezaji ilikuwa smart kugundua ulafi wa jamaa.
Shaffih Dauda alimfata mchezaji na kumu approach kuwa kuna offa kutoka Ulaya ambako ni Israel.
Dogo akafikisha huo ujumbe wa management yake na management yake ikafanya mawasiliano na Shaffih Dauda kuwa wapo tayari ila tupe hiyo offer tujadili maslahi atayopata mchezaji.
Lakini Shaffih Dauda hakuweza ku prove hiyo offer kuwa ni real. Walipoona jamaa alikuwa ana test upepo kwa madai feki wakampiga chini waka stick kwenye dili ambalo limeletwa na Simba.
Sasa yeye alipoona wamemla kichwa kwenye mchongo wake wa Israel akaja kwenye media akiwa emotionally eti yuko disappointed kwa kitendo cha dogo kusajili Simba na kuacha kwenda Ulaya.
Alipokuja kuharibu ni kutaja mkataba alionunuliwa Simba kutoka Mtibwa ambapo kwa mujibu wa management ya mchezaji Shaffih Dauda ametoa maelezo ya uongo.
Na moja ya hoja ambayo hata mimi nimeizingatia kutoka upande wa management ya mchezaji ni kukanusha taarifa za uongo ambazo zingeachwa ziwe spread zingewesa kuleta madhara.
Kuna kasumba ya kusikia boss katoa milioni 200 ya usajili halafu uongozi wa Club unamleta mchezaji aliyesajiliwa kwa milioni 100 halafu kwenye ripoti wanaandika milioni 200
Kwa hiyo Shaffih Dauda kwa kitendo chake cha kudanganya kutaja thamani ya mkataba kinaweza kuleta taswira tofauti, boss aliyetoa hela ya usajili anaweza kudhania kuwa amepigwa kwasababu kiasi kikichotajwa na Shaffih Dauda hakifanani na kiasi alichoandikiwa kwenye ripoti.
Shafii anasema hivyo,usimsemeee. Kasema ana mkataba. Na mkataba si wa majaribio. Kenge weweAlicho maanisha ni offer ya kujaribiwa, maana kwenye safari yake hagharamii chochote. Hakuna anaye mjua Chasambi na akifika uko atakuta Kuna vijana 5/10 waliofika kujaribiwa Tena kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Kilicho takiwa kwa Chasambi ni kwenda kujaribu maana apo Simba nafasi yake ipo tu.
Unatetea kwa nguvu kubwa sababu amechagua simba badala ya timu ya ulayaUlaya ipi wewe unafikiri kila mchezaji aliyepo Ulaya anajua mpira?
At least hoja yako ijikite kwenye aina ya ligi, kuliko hii ya kusema Ulaya.
Sasa Israel ina mpira gani wakutisha?
Kuna mataifa ya Ulaya yana timu mbovu Zalan inasubiri na bado utaendelea kuzihusudu kwasababu ni Ulaya?
Usikute hii jana ulikuwa unabishana na Digala mwenyeweUlaya ipi wewe unafikiri kila mchezaji aliyepo Ulaya anajua mpira?
At least hoja yako ijikite kwenye aina ya ligi, kuliko hii ya kusema Ulaya.
Sasa Israel ina mpira gani wakutisha?
Kuna mataifa ya Ulaya yana timu mbovu Zalan inasubiri na bado utaendelea kuzihusudu kwasababu ni Ulaya?
Shafii alimshangaa dogo kwa nini kasaini simba halinya kuwa yeye kampatia timu ulaya wala hakusema majaribioAlicho maanisha ni offer ya kujaribiwa, maana kwenye safari yake hagharamii chochote. Hakuna anaye mjua Chasambi na akifika uko atakuta Kuna vijana 5/10 waliofika kujaribiwa Tena kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Kilicho takiwa kwa Chasambi ni kwenda kujaribu maana apo Simba nafasi yake ipo tu.
Mkuu umeelewa alichoelezea Scars au umejikita kwenye kupinga tu ?Bahati mbaya mpira wetu una Mazuzu wengi, Ao ma agent wakubwa ulaya nyuma Yao Kuna watu aina ya Shafii wengi Sana.
Ndivyo Dunia ya Soka ilivyo, Hakuna Agent duniani anaye fanya kazi bila ao jamaa na wote wanapata haki zao.
Nyuma ya mchezaji Kuna watu wa kutosha ambao wengine hata mchezaji hajawahi kukutana nao.
Msione Kuna wachezaji viwango ni vya kawaida lakini wanabadilisha timu watakavyo izo ni kazi za watu kama Shafii wapo Dunia Nzima
Mkuu temana nae uyo anapenda ligi zisizo na sababu umeeleza vyema kabisa yeye analeta mambo ya usimba na Yanga.Naomba unijibu haya maswali
Hiyo Club ya Ulaya ilimjua vipi Chasambi?
Katika ligi ambayo wapo wachezaji wenye namba nzuri kwanini Chasambi na sio mtu mwingine?
Ilimjua kupitia Shaffih Dauda?
Kwamba jamaa tangu kitambo alikuwa na connection na watu wa huko Ulaya hivyo akampigia pande dogo?
Ukumbuke kuwa Chasambi hana uhusiano na Shaffih Dauda wala hajatokea kwenye foundation yake.
Sasa unataka kuniambia Shaffih Dauda ana huruma sana na Chasambi kiasi cha kuwa skip wachezaji wake kutoka kwenye foundation yake na kumtafuta Chasambi ampe dili ka Ulaya huku akijua wazi kabisa kuwa kwa kufanya hivyo hawezi kwenda kunufaika chochote kuliko angemtoa mchezaji wake wa kwenye hiyo foundation yake?
Au hiyo Club ya Ulaya imemjua Chasambi kupitia juhudi zake mchezaji mwenyewe akiwa kiwanjani na ndio zilizo washawishi scouting team kuona anaweza kuwafaa kwa mahitaji yao?