Ladack Chasambi ni nani mbona kitenge anachochea sana kuni?

Dauda mpigaji kumbe!
 
Shafii anasema hivyo,usimsemeee. Kasema ana mkataba. Na mkataba si wa majaribio. Kenge wewe
 
Unatetea kwa nguvu kubwa sababu amechagua simba badala ya timu ya ulaya
Ni ngumu sana kwa wachezaji wetu kufanikiwa sisi tubaki na majungu na fitna
 
Usikute hii jana ulikuwa unabishana na Digala mwenyewe
 
Shafii alimshangaa dogo kwa nini kasaini simba halinya kuwa yeye kampatia timu ulaya wala hakusema majaribio

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kama sijakosea Novatus, Maurice , Kelvin John na Tiber wameenda ulaya kupitia agency ya Shafih Dauda
 
Mkuu umeelewa alichoelezea Scars au umejikita kwenye kupinga tu ?
 
Mkuu temana nae uyo anapenda ligi zisizo na sababu umeeleza vyema kabisa yeye analeta mambo ya usimba na Yanga.

Uyo chasambi angesajiliwa yanga ungeona bwana kiredio anaunga mkono kwenye hoja yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…