Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badonnasugua kichwa inawezekanaje box/packet likawa na ujazo wa mapera/maembe/mchanganyiko na ladha ile ile halafu liuzwe kwa shilingi mia tano au elfu mbili ili hali kukamua juice yenyewe unahitaji matunda kibao
au tunaongopeana?
kwa hiyo ni matunda kweli?
asante kwa hoja ya kujenga uelewa
We kunywa tu but chemicals ni >70%
Juisi ya aina yoyote iwe Juisi ya Maembe/Mapera/Machungwa/Apple/Mananasi/ukiona imetengenezwa na kuwekwa kwenye Box Au Packet ujuwe hiyo juisi ni Feki. Usinywe ina Madhara ya Sumu ndani yake.Badonnasugua kichwa inawezekanaje box/packet likawa na ujazo wa mapera/maembe/mchanganyiko na ladha ile ile halafu liuzwe kwa shilingi mia tano au elfu mbili ili hali kukamua juice yenyewe unahitaji matunda kibao
au tunaongopeana?
kwa hiyo ni matunda kweli?