Ladha za nutrition zifuatazo zipoje?

kufanakupona

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2015
Posts
522
Reaction score
421
Huwa nakula vyakula mbalimbali ila sijui ladha hii ni ya kirutubisho kipi!
Nasikia kuna virutubisho saba i.e proteins,carbohydrates,fats,vitamins,mineral,fiber na water.

Ladha ninazoomba mnijulishe ni za minerals,ukiweza hata hizo nyingine siyo mbaya.Mineral zenyewe hizi hapa:

Calcium,Chloride,Chromium,Copper,Fluoride,Iodine,Iron,Magnesium,Manganese,Molybdenum, Phospherous, Potassium,Selenium,Sodium,Zinc n.k
 
Mnieleweshe ladha ya nutrient hii ipo hivi,hivi,hivi na hivi.
Umenielewa?
Umenifanya nimkumbuke mwalimu wangu wa somo la Chemistry, kwa kutumia zaidi sense mbali Katika utambuzi wa madini na kemikali mbalimbali hasa kunusa na kulamba.
 
Umenifanya nimkumbuke mwalimu wangu wa somo la Chemistry, kwa kutumia zaidi sense mbali Katika utambuzi wa madini na kemikali mbalimbali hasa kunusa na kulamba.
Walioelewa vizuri chemistry,biology na physics wana raha sana.Maana hayo ndiyo masomo ya asili.
Kwa mfano kwenye chemistry kuna topic inaitwa organic chemistry,kila dawa,inatokana na hii topic,kila kitu unachokiona hapa duniani kina kanuni yake,kanuni yenyewe imetoka kwenye hii topic.Sayansi ni muhimu sana kwa faida binafsi.
Lete mwanga mkuu kwa tuliokimbia sayansi,tufafanulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…