Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Hapo ndipo IWA aliponibinafsishia konyagi yangu!
Nilihonga kwa yule mama mwenye mwili mkubwa kama unakumbuka mlipo rudi mkaona kachupa pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo IWA aliponibinafsishia konyagi yangu!
Chrispin (Hommie) and Noname on the 'go'...
hommie hapo kwenye red unaitaji tuition tena? ha ha haNo please!
Inanisaidia kurekebisha mapigo ya moyo. Mtu akiniboa nafungua JF fasta then naitafuta avatar yako.
Presha inapanda afu inashuka.... Mapigo ya moyo yanaenda sawa.\
I am in love with your avatar if I must be straight!
kale ka-mbusi hakajaliwa mbado!......tunatafuta the right place!
halafu baba-askofu huwa husahau kitu?!😀
hehehe!msisitizo wako huo,hehehehe!haya bana
nakuona kwenye avata unamtongoza sista
HIVO EEH!haya baba askofu....
NOTED WITH MANY THANKS
mdada katinga na ledha jaketi ndani ya bongo.SI MCHEZO!.kisa kinaendelea........!
HEDEEEE HEDEEE HEDEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
![]()
xpin na timu nzima ya wapwaaz originale walikuwa hapa:
![]()
Binamu hii ndio nyama choma uliyotuahidi kipindi kile uko honey moon
sawa kabisa ..michango inapitishwa??
NB.klorokwini nilikumiss sana
natamani nirushe na hizi ninazoziangalia usiku huu!....lakini naogopa
lakini mbona unatuonyesha picha za magari tupu mheshimiwa sana???