Ladies and Gentlemen tukumbushane na hili

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
 
Ivi alisema kuoa na kuolewa ni LAZIMA nan??? Mbona kama watu mnaeeka ulazima wa hili swala? Kuna Sheria inamfunga mtu asiyeolewa? Au nin Cha zaid
 
Ivi alisema kuoa na kuolewa ni LAZIMA nan??? Mbona kama watu mnaeeka ulazima wa hili swala? Kuna Sheria inamfunga mtu asiyeolewa? Au nin Cha zaid
BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
 
Uhakika ....... sema wakiwa hot cake wanatuona sie mafala sana. Nilikuwa na pewa story na mzeee miaka 57 kwa sasa anasema anakioto cha miaka22 anakula na kamemganda mbaya zaidi kanakataa hadi wachumba zaidi ya yote kamemganda mzee huyu kamzalie mtoto na yeye hataki mtoto anataka akakwepe kwa kurithibitisha hilo akanionyesha msg.Kwanza huyu ndigi namjua ni HIV+ wa siku nyingi sana zaidi ya miaka13 mke wake alikufa 2009 na ngoma!

Sikuwa na ushauri zaidi ya kumwambia dingi huyoo mtoto kautaka piga piga akili ikimjia atakuacha mwenyewe tu!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…