Wakati mwanamke ana umri wa chini ya miaka 24, uwezekano wa kuolewa ni zaidi ya salimia 75%.
Wakati mwanamke ana umri wa kati ya miaka 25 na 29, uwezekano wa kuolewa ni asilimia 50%.
Wakati mwanamke ana umri wa miaka 30, uwezekano wa kuolewa ni asilimia 25%.
Lakini
Wakati mwanaume ana umri wa chini ya miaka 25, uwezekano wa kuoa ni chini ya asilimia 25%,
Wakati mwanaume ana umri wa miaka 25 hadi 29, Uwezekano wa kuoa ni asilimia 60%.
Wakati mwanaume ana umri wa zaidi ya miaka 30 uwezekano wa kuoa ni zaidi ya asilimia 80%.
Ni lini wanawake mtalitambua hili ? Ninawahurumia wanawake wanapoteza ujana wao bure hasa wakidate na lile kundi la wanaume wenye asilimia chache sana za kuoa
kumbuka,
Mwanaume ni kama divai unavyozidi kunywa ndivyo inavyozidi utamu
Mwanamake ni kama maziwa unavyozidi kunywa ndivyo yanavyo kukinai