Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio rahis kwa mdada kumwambia mkaka kuwa anampenda labda mishipa ya aibu iwe ilishaathirika. kingine aliepewa mamlaka ya kuomba uchumba na mungu ninadhani ni mwanaumeKila nikiona post ya m2 anatafuta mchumba nakimbilia jinsia nakuta ni wanaume kwa wasichana nadra sana. Je wakina dada ikitokea umempenda m2 kwel waweza mwambia direct?
sio rahis kwa mdada kumwambia mkaka kuwa anampenda labda mishipa ya aibu iwe ilishaathirika. kingine aliepewa mamlaka ya kuomba uchumba na mungu ninadhani ni mwanaume
mbweta nimekupenda jaman....unasemaje sasa?
1.m bad n gud gal smtimes i promis u to take care of u n our kids as well
2.i promise u to b wise wife n good mother two
3.we wl rise our family in godlish way
PLS NAOMBA UNIKUBALIE OMBI LANGU....jana nilipata maono na nikaonyeshwa wewe ndye u mume wangu so pls dnt say noooo pls n pl abeg.....
shera ntanunua mwenyewe usihofu.......!

aaah we umezidisha unamwambia simple tu jaman sio uanze kumfukuzia kitaa na mineno ming ivo
sio rahis kwa mdada kumwambia mkaka kuwa anampenda labda mishipa ya aibu iwe ilishaathirika. kingine aliepewa mamlaka ya kuomba uchumba na mungu ninadhani ni mwanaume
hahaha rose bana, haya mbweta kifaa hicho
Kila nikiona post ya m2 anatafuta mchumba nakimbilia jinsia nakuta ni wanaume kwa wasichana nadra sana. Je wakina dada ikitokea umempenda m2 kwel waweza mwambia direct?
ye asi kataka tuwe honest bas ndo ivo km ajawai kutongozwa mi nimemtokea front namsikilia anasemaje...hah hahha hahaa!
lakin naona anajifanya msg ni ya mtu mwngne na nimemwambia thats yrs nasubiri jibu sa sjui kaenda kuuliza kwanza marafik zake ..washkaji kuna demu kantokea nakwambia uso mkavu km mbuzi ....haha haha mi sjali nataka jibu tu na ole wake aniktae nakwambia naenda kumsemea kwa babu tutamtengeneza mshipa..:love::love::love:!
maty ukisoma futa mwwaya mwenyewe asiione..:yield:
aah nimeanza ogopa ni sawa ukamtongoza mwanamke hapo hapo akakubali lazima ushangae utajua anakukejeli
Maty hajafuta nimeiona. Bora weye umenitokea live mana wengine ni kelo njia wanazotumia, hata kama ulikuwa unampenda atakuchefua. Ukiwa uswaz utatingishiwa mpaka ukome ila wat 4? Angesema ingekuwa poa.
ehh umeiona enhh bas pole mdg wangu aliandika wasnt me..:love::love:
mi ntakukonyeza tu mpk utakubali na siku tukikutana ntakutikia mgongo cz nyma nimepgwa pas sna ata cha kutikisa jaman na i shepu yangu ya konyagi juu mkubwa chn mdg...nikubali bas wewe!!!!!!
aah aah shepu kama simba dume mie ctaki
nipe mwongozo sasa unataka shepu ipKatengeneze kwanza jamani mana yaweza goma kuja ujue