Ladies, can you assist your man to pay your bride price?

Ladies, can you assist your man to pay your bride price?

Niliona. Kwa kweli mahari alipe yeye tu.
Akiishiwa hela huko mbele nitasimamia show. Ila mahari apambane peke yake.

Ila sijaielewa concern yako..
Yeees...huo ndio utaratibu
 
Tatizo matukio ya me yamekua mengi kwahiyo inakua ngumu kwa ke
 
Mbona wanalipa sana tu tena hawa mnawaita corporate ladies wanajilipia mahari balaa, chezea kuidance kwaito wewe...
 
Ladies can you assist your man to pay your bride price if you see that he sincerely loves you and wants to settle down with you.
No man will accept this…. Unless he is reeady to be powerless…!
 
wanawake toeni majibu mjulikane. nakumbuka Mke wangu nilivyotaka kutoa mahali alienda kwa mamake na kumwambia aende kwa wajomba zake awaambie kabisaa kwamba wapunguze mahali wasitaje kubwa kwasababu mimi na yeye tunahitaji hizo pesa kutimiza malengo yetu, sema nilimweka karibu akajua kabisa kuwa nilicho nacho kitakuwa cha kwake na cha kwake cha kwangu muda si mrefu, na alikuwa serious. nililipa kidogo tu sikumaliza hadi leo. huo ndio ulikuwa mchango wake.
 
Back
Top Bottom