Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fasta

Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fasta

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
They say, desperate times calls for desperate measures!

Lakini wadada wa kibongo sikuhizi buana nawapenda sana, sio kwa kujiamini huku! Kuna rafiki yangu ametoka kuni surprise leo, kaniambia kuwa alikuwa na bwana wake, for 3yrs hakuona kabisa dalili ya jamaa kumuoa.

Siku moja akaamua kumtoa out bwanake, wakiwa wanakula, wanafurahi, wanapata dessert, my friend akamwambia bwana, unaonaje tukioana?
Jamaa yake anatoa macho, anamwuliza kweli?

My friend: Yes, why not, hatuna cha kupoteza u know na tumefahamiana vya kutosha Jamaa: ok no problemo! Wakamalizia show kwa room, hakukuwa na pete ya kuvishwa wala nini, na harusi yao ni Jumamosi ijayo.

You see ladies, this is the new improved way of how to get away with marriage, ukisuburi fairy tale, Romeo and Julieth Bado hawajaamka usingizini ivooo? Usije subiri miaka 2000 kurudi kwa Yesu.

Desperate times calls for desperate measures!

Ndo ivo akina dada mjitoe ufahamu sio kunata.

 
[QUOTE="Huyu shemeji yangu mnyamwezi mpooole kama kamasi"[/QUOTE] Loh misemo hiishagi duniani
 
Back
Top Bottom