Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fasta

Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fasta

Mwanaume ndiye anaamua aoe au asioe!

Hiyo njia haiwezi fanikiwa bila ya uteyari wa mwanaume
 
Ahahahahaha
MMumuu ki Nigeria unajua ina maana gan?!
Ahahahahaha
KKweli we apply utaniambiaa
Hivi unajua kama mm ni myoruba wa Ondo States Abuja???hawa watakuwa wa Igbo tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi hatujafundishwa hivo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Uambiwe tu "tuoane" nawe uingie mzima mzima kisa mmekuwa marafiki kwa miaka kadhaa!!!!?

Huyo mwanaume atakuwa msukuma (kwa kabila)
Tuheshimiane bro sisi huwa tunafuata nyumbani. We kama siyo mnyakyusa utakuwa mgogo maana akili zenu mnazijua wenyewe
 
Tuheshimiane bro sisi huwa tunafuata nyumbani. We kama siyo mnyakyusa utakuwa mgogo maana akili zenu mnazijua wenyewe
Sasa na hii unataka kuiendea chato kusemelea!!!?
 
jamaa alikuwa anasubiria hiyo opportunity - but still hajiamini......hongera zao
 
Unajuwa Wanaume huwa kuna wanawake tunajua kabisa huyu anafaa kuoa na kuwekwa ndani ya mjengo na kuna wengine kutokana na wanavyojiweka huwa tunajua tu huyu ni wakujilia papuchi hata atumie hiyo njia uliyo itaja ni kazi bure.
You Are Right Mkuu
 
They say, desperate times calls for desperate measures!

Lakini wadada wa kibongo skuhizi buana nawapenda sana, sio kwa kujiamini huku!

kuna rafkiangu ametoka kuni surprise leo, kaniambia kuwa alikuwa na bwana wake, for 3yrs hakuona kabisa dalili ya jamaa kumuoa

Siku moja akaamua kumtoa out bwanake, wakiwa wanakula, wanafurahi, wanapata dessert, my friend akamwambia bwana, unaonaje tukioana?
Jamaa yake anatoa macho, abamwuliza kweli?
My friend: Yes, why not, hatuna cha kupoteza u know na tumefahamiana vya kutosha
Jamaa: ok no problemo!
Wakamalizia show kwa room, hakukuwa na pete ya kuvishwa wala nini, na harusi yao ni jumamosi ijayo

You see ladies, this is the new improved way of how to get away with marriage, ukisuburi fairy tale, Romeo and Julieth Bado hawajaamka usingizini ivooo?! Usije subiri miaka 2000 kurudi kwa Yesu.

Desperate times calls for desperate measures!

Ndo ivo akina dada mjitoe ufahamu sio kunataa


huyo muoaji ni UrbanGentleman?
 
Uambiwe tu "tuoane" nawe uingie mzima mzima kisa mmekuwa marafiki kwa miaka kadhaa!!!!?

Huyo mwanaume atakuwa msukuma (kwa kabila)
Heshima jamaa

Ujue wasukuma hatuingii kichwa kichwa
 
Usim CC jamaa wa chato basi na wewe!!!!
Huna haja ya kupaniki mwanamayu.
Kitu kidogo hivi hata sisimiz mkubwa kinifanye nipaniki

Hehehehe ndo nakuambia ss sio watu wa kuingia kichwa kichwa unamuona magufuli anavofanya

Humuoni change wanavomtaja bado wakija kumtoa inakua ngumu
Humuoni makonda wanavosumbuka

Sisi jamaa acha kabisa tunacheki vzr kujafikia kuingia jua ni paratable
 
Kitu kidogo hivi hata sisimiz mkubwa kinifanye nipaniki

Hehehehe ndo nakuambia ss sio watu wa kuingia kichwa kichwa unamuona magufuli anavofanya

Humuoni change wanavomtaja bado wakija kumtoa inakua ngumu
Humuoni makonda wanavosumbuka

Sisi jamaa acha kabisa tunacheki vzr kujafikia kuingia jua ni paratable
Ghafla kolomije ndani!
Utaliamsha dude!!!
Shauri yako!!
 
Unaonaje tukioana hyo statement ndio itakuwa namna ya maisha yao milele
 
Huyu ni mwanamke..
Amejenga nyumba yake unahamia kwake na rambo yako bado uko na wanaume wenzako nasema naenda nyumbani...... ha ha ha ha my friend akili kukichwa wanaume wenzako wanakucheka.... hujui ada ya mtoto wa bili ya umeme/maji kataa kubali wewe ni house boy tuu kinachokufanya usilala nje ni ile shughuli yake ya usiku........

Wanaume wa Dar nani aliwaloga kwa kweli hii ni shida jingonezeni jamani khaaa
 
Back
Top Bottom