They say, desperate times calls for desperate measures!
Lakini wadada wa kibongo skuhizi buana nawapenda sana, sio kwa kujiamini huku!
kuna rafkiangu ametoka kuni surprise leo, kaniambia kuwa alikuwa na bwana wake, for 3yrs hakuona kabisa dalili ya jamaa kumuoa
Siku moja akaamua kumtoa out bwanake, wakiwa wanakula, wanafurahi, wanapata dessert, my friend akamwambia bwana, unaonaje tukioana?
Jamaa yake anatoa macho, abamwuliza kweli?
My friend: Yes, why not, hatuna cha kupoteza u know na tumefahamiana vya kutosha
Jamaa: ok no problemo!
Wakamalizia show kwa room, hakukuwa na pete ya kuvishwa wala nini, na harusi yao ni jumamosi ijayo
You see ladies, this is the new improved way of how to get away with marriage, ukisuburi fairy tale, Romeo and Julieth Bado hawajaamka usingizini ivooo?! Usije subiri miaka 2000 kurudi kwa Yesu.
Desperate times calls for desperate measures!
Ndo ivo akina dada mjitoe ufahamu sio kunataa