Ladies, let’s do the real talk...

Ladies, let’s do the real talk...

Cryspina

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2020
Posts
298
Reaction score
395
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.

Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja?!

Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta?!

If he in all well and good and you are broke as broke. Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!

Ladies can I hear from you about this, guys you too can contribute.

On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume.
 
Anaweza akawa anakili kitu but asiwe na akili ya kuendesha zile mali zake, na akakutana na ww ukampa muongozo mzuri na akazidi fanikiwa na akupenda sana tu. Unaweza ukaanza chini na mtu na bado akawa msumbufu kwenye mapenzi akaspend kile mlichotafuta wote na wanawake wengine.
 
Kikubwa kupendana tu haijalishi ana mali au hana mali. Unasema naenda kucontribute nini? Yeye hadi anakuja kunitaka atakuwa anahitaji nini? Mpaka akataka mahusiano basi kuna kitu ameona kinapungua katika maisha yake, hicho ndio nitakachocontribute
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!

Basi mpo wachache sana
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " 🤭🤭 . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
 
hakuna mtu anayekuwa na kila kitu, hali yeyote unayomkuta nayo ni starting point ya maisha yenu.

Wewe unaenda na ulichonacho ambacho kinaweza kuwa upendo, uzuri, akili, n.k. halafu unamkuta na alichonacho ambacho pia kinaweza kuwa upendo, heshima, mali, n.k. halafu mnaunganisha ili kutafuta mafanikio zaidi.

plain and simple.
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " [emoji2960][emoji2960] . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
Hiyo sentensi ya mwisho ni ya msingi sana
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
Umemalizia vizuri nilikuwa nasubiri huu mstari wa mwisho usingekuwepo ningejua cha kufanya.
 
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....

Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!

Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!

If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!

Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.

On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
Dada nisaidie kufahamu kama tayari ushapata mchuchu au bado. Kiroho safi lakini
 
Hehehe sasa Kuna wanaume ata Mali bado hawana lkn anavo kutreat kama anakufanyia hisani kuwa nae na hapo ata kazi hana nawaza tu upepo wa pesa ukimpitia cjui itakuwaje, apo akishika tu 50 anabadilika sasa akishika millions of money.
 
Back
Top Bottom