Ladies, let’s do the real talk...

Ladies, let’s do the real talk...

Nina Mali niko vzr kiuchumi hatujaanza wote hamna kitu ume contribute nikikufuata of course you are the woman I want
Katika wengi niliokua nao [emoji16] umenipata vizuri hauko peke yako

Yule nilianza nae namuogopa sana tena nahemushimu na ukitaka Ku cheat kunakuwa na ka imani flani hivi nafsi inakusuta
 
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....

Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!

Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!

If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!

Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.

On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
Zama hizi Ukimkuta mwanaume ana kila kitu, jiulize mara tatu tatu, sio rahisi akuoe, mtapoteza muda halafu atakuja kumuoa mwingine kabisaa...either atakaeolewa ana mchango wa namna fulani kwenye mafanikio ya huyo mwanaume

Ila wanawake inabidi wajifunze at some point, maisha ya kuanza pamoja from the scratch ni maisha mazuri na yana bond kubwa sana,hii bond inaletwa na your love history, ups and downs, better and worse, mvua na jua...na pia yanakua na value kwenu wote wawili yaani kila mmoja anaona thamani ya mwenzake, upendo wa kweli na uvumilivu.

Sasa wanawake wengine anabahatika kumpata mwenye kila kitu, akifika yeye kazi yake ni total destruction kwa huyo mwanaume, hana uchungu hata wa mali aliyoikuta, hawazi namna ya kuendeleza pale mwenzake alipoishia, hana mawazo chanya, zaidi anataka kuweka tamaa kwa sababu ya ubinafsi, ndio maana wanaume wanawaogopa sana wanawake, tena wanaume wengi ambao wamefanikiwa na hawajabahatika kuoa, huwa wanaogopa kuoa sijui kwa nini...labda kwa sababu ya hizi tabia

Wadada kama ukimkuta mwenza amejiandaa kimaisha na amekamilika, jaribu ku add value kwenye ulichokikuta, kithamini na uweke mchango wako, acha ubinafsi na tamaa, heshimu mali ulizozikuta at the end of the day Mwanaume nae atakuona una thamani na mchango kwa namna fulani kweye maisha yake
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji106][emoji3590][emoji106]
 
Wewe umeongea vizuri sana, baadhi ya wanawake wanajua kutanua mapaj* tu , hamna kingine wanajua na hao ndio hatari zaidi katika kizazi hichi cha uchumi wa kati.

Mwanamke lazima awe zaidi ya uanawake wake kama ulivyotanguliza hapo awali, lazima uonyeshe kuwa wewe una nini cha ziada kwa mwanaume, zaidi ya kulalalala

Ubarikiwe sana kwa kujielewa .
 
Zama hizi Ukimkuta mwanaume ana kila kitu, jiulize mara tatu tatu, sio rahisi akuoe, mtapoteza muda halafu atakuja kumuoa mwingine kabisaa...either atakaeolewa ana mchango wa namna fulani kwenye mafanikio ya huyo mwanaume

Ila wanawake inabidi wajifunze at some point, maisha ya kuanza pamoja from the scratch ni maisha mazuri na yana bond kubwa sana,hii bond inaletwa na your love history, ups and downs, better and worse, mvua na jua...na pia yanakua na value kwenu wote wawili yaani kila mmoja anaona thamani ya mwenzake, upendo wa kweli na uvumilivu.

Sasa wanawake wengine anabahatika kumpata mwenye kila kitu, akifika yeye kazi yake ni total destruction kwa huyo mwanaume, hana uchungu hata wa mali aliyoikuta, hawazi namna ya kuendeleza pale mwenzake alipoishia, hana mawazo chanya, zaidi anataka kuweka tamaa kwa sababu ya ubinafsi, ndio maana wanaume wanawaogopa sana wanawake, tena wanaume wengi ambao wamefanikiwa na hawajabahatika kuoa, huwa wanaogopa kuoa sijui kwa nini...labda kwa sababu ya hizi tabia

Wadada kama ukimkuta mwenza amejiandaa kimaisha na amekamilika, jaribu ku add value kwenye ulichokikuta, kithamini na uweke mchango wako, acha ubinafsi na tamaa, heshimu mali ulizozikuta at the end of the day Mwanaume nae atakuona una thamani na mchango kwa namna fulani kweye maisha yake
Umeolewa?[emoji39] Naomba nikuoe tutaanza chini kabisa[emoji39]
 
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....

Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!

Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!

If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!

Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.

On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
Yaani ladies wote wangukuwa na akili na uelewa mpana kama wako mbona wasingekuwa wanachelewa kuolewa yaani.....tatizo wengi wanapenda kuvikuta.
 
Zama hizi Ukimkuta mwanaume ana kila kitu, jiulize mara tatu tatu, sio rahisi akuoe, mtapoteza muda halafu atakuja kumuoa mwingine kabisaa...either atakaeolewa ana mchango wa namna fulani kwenye mafanikio ya huyo mwanaume

Ila wanawake inabidi wajifunze at some point, maisha ya kuanza pamoja from the scratch ni maisha mazuri na yana bond kubwa sana,hii bond inaletwa na your love history, ups and downs, better and worse, mvua na jua...na pia yanakua na value kwenu wote wawili yaani kila mmoja anaona thamani ya mwenzake, upendo wa kweli na uvumilivu.

Sasa wanawake wengine anabahatika kumpata mwenye kila kitu, akifika yeye kazi yake ni total destruction kwa huyo mwanaume, hana uchungu hata wa mali aliyoikuta, hawazi namna ya kuendeleza pale mwenzake alipoishia, hana mawazo chanya, zaidi anataka kuweka tamaa kwa sababu ya ubinafsi, ndio maana wanaume wanawaogopa sana wanawake, tena wanaume wengi ambao wamefanikiwa na hawajabahatika kuoa, huwa wanaogopa kuoa sijui kwa nini...labda kwa sababu ya hizi tabia

Wadada kama ukimkuta mwenza amejiandaa kimaisha na amekamilika, jaribu ku add value kwenye ulichokikuta, kithamini na uweke mchango wako, acha ubinafsi na tamaa, heshimu mali ulizozikuta at the end of the day Mwanaume nae atakuona una thamani na mchango kwa namna fulani kweye maisha yake
Balance ni pale kila mtu amefanikiwa kivyake. Uoga utatoka wapi?

Sasa wewe kama umejipatia mali mwenywe halafu umeenda kutafuta mtu ambae ni struggle , hautakuwa na amani sana. Lakini ukienda kutafuta mtu ambae amejitahidi mwenye, si lazima awe level yako lakini anaonesha juhudi na bidii, roho itatulia kidogo kwenye maamuzi ya kuoa.
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
Ila tunda alikula?
 
Balance ni pale kila mtu amefanikiwa kivyake. Uoga utatoka wapi?

Sasa wewe kama umejipatia mali mwenywe halafu umeenda kutafuta mtu ambae ni struggle , hautakuwa na amani sana. Lakini ukienda kutafuta mtu ambae amejitahidi mwenye, si lazima awe level yako lakini anaonesha juhudi na bidii, roho itatulia kidogo kwenye maamuzi ya kuoa.
Yeah hata pale ambapo kila mtu amefanikiwa kivyake it brings balance lakini in most cases ladiea wa kibongo wanapenda ambae ameshafanikiwa wakati yeye hata vision hana anawaza kudanga

Lakini pia atlist mkaanza pamoja pia it makes sense tofauti na kuwa na level tofauti

Na wengi walio katika age ya kuoa mara nyingi wanakua katika mchalato wa kutafuta, ni wachache ambao wanakua wameshajijenga na wamefikia level ya maisha inayoridhisha au maganikip kwa lugha nyingine
 
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....

Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!

Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!

If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!

Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.

On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
Maisha hayana kanuni
Unaweza pata mwanaume mwenye kila kitu na akakupenda
Unaweza umpate ambaye Hana chochote na asikupende

Na vise versa ni true.
 
Back
Top Bottom