Ladies, let’s do the real talk...

Unajua nimegundua wanaume wengi mnataka mwanamke akiwa nacho ilihali mwanaume hana basi mwanamke awe na heshima kama kawaida! Ila mwanaume akiwa nacho ilihali mwanamke hana basi mwanaume anatakiwa amdharau huyo mwanamke sababu kamkuta navyo mwanaume!
 
Hivi kuna tofauti ya kuchepuka huku nafsi inakusuta na kuchepuka huku unachekelea?
Si ndio hapo sasa! Kuchepuka ni kuchepuka tu na wanaume wanaochepuka wote wanafurahia ila wanakuja hapa kujifanya nafsi zinawasuta na huku wanaendelea sasa kwanini wasiache?
 
Hii ni sahihi japo kuna kuanza wote maisha kwenye dhiki mnalala kwenye kigodoro kimoja na upside down za hapa na pale, Mara paap mwanzako akatusua akapata shavu mambo ya ubinafsi yakaanza Mara hiki cha kwangu Mara chumba mm ninaelipia kodi,maneno ya kebehi yanaanza mpaka unasema hii sasa mbona sikuiona mwanzo iweje sasa

Mm imenitokea hii nilikua nafanya biashara za tigo pesa baadae mtaji ukafeli, baadae mwenzangu akaja kupewa mtaji na kaka yake akafungua yeye hyo hyo tigo pesa sasa naona mambo yanaenda vizuri mm mambo yangu yamebuma,nyodo sasa ndo zimeongezeka ,ubinafsi ndo usiseme na kitu kinanikeraga sana mtu kua na ubinafsi maneno ya kero kero yaan daaah
 
We umedate na wanaume aina zote

YAANI HUKO CHINI SIJUI KUNA DNA ZA VIDUME WANGAPI NDO MAANA UMEKONDA KAMA UNA UKIMWI 😃🤣.

Cc Darlin
 
Mpuuzi kweli wewe, yaani mwanaume ashakua stable financially halafu wewe na njaa zako ndo uende kumpa muongozo.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…