Ladies, let’s do the real talk...

Naona tu mnavyodanganyana, mahusiano hayana formula mtu aliekutana nae Anna nitofauti aliekutana nae Amina, watu hutofautiana kwa mashauri yenu mtadanganyana na wengine mtawakimbia wachumba wenu ambae Mungu amewapangia,
 
Unajielewa sana mrsleo, walee wanao ktk mtazamo huo.

Ni kweli kabisa wanawake ndo wamesababisha jamii yetu kuwa na wanaume marioo
 
Tutaannzia hapohapo. Contributions zangu ni nyingi ntazaa ntalea watoto ntafua yani all kind of staff ndani ntafanya. Nadhani anahitaji zaidi hili kuliko mali alizonazo maana kuzaa hawezi bila mwanamke.
Unamtishia kuzaa sio?
 
Bonge la mchango wa kifikra
 

Acha utani wewe mwanamke kuhudumiwa wacha jamaa atafute wee uje utumie. Au wee huoni kuwa nawe utachangia kwa kumzalia na kugegedwa?
 
Huko walipokufundisha kuwa mwanaume ni kutafuta, walikwambia sehemu gani wanatoa ajira kisha vijana hawataki kwenda au?!

Na ndipo walikufundisha kudanga ndio kisingizio mnatumia siku hizi kuchagua wanaume wenye kipato na wasionacho....?!

Huo ni uamasikini wa fikra tu. Wanaume na wanawake kimtazamo wa imani ni Kiongozi na msaidizi. Katika mfumo wa kiuchumi ni mapartner wawili (wabia), kijamii ni wanandoa na wandani, kisiasa ni nguzo na msingi wa taasisi mama ya taifa nayo ni familia kabla ya zote.

Kumsaidia mwanaume kujijenga kiuchumi si jambo baya na si la miaka yote ni la muda kipindi mnaanza. Sema tu watoto wa kike wa siku hizi hamna misingi mizuri.... Wengi wenu mnataka utelezi na ni wavivu mno mnasurvive kwa hela za kudanga na kuomba omba na vikazi kidogo mkifanya hapa na pale..... Ila haijakaa sawa kabisa...
 
Kuna ukweli ulichosema na nilichosema kina ukweli pia.
Kuna wengine wanakuwa na mali wanakuwa na viburi na kutaka kuonesha kuwa hawatawaliki. Kuna wengine wanatulia , si limbukeni, wanataka someone to spend their life with.

Possibilities ziko nyingi.
Cha msingi I still stand by what I say, kuanza from scratch pamoja can be overrated sababu nimeshuhudia wengi wanaanza from scratch lakini pensheni ikifika Baba mtu anachukua Pesa anakimbia Ku spend na watu wa nje . The return on investment is low for most women in this society.
 
Umejibu kisiasa mkuu. Kama hajatulia utakuta kashazaa na wenzio, kufua atakuwa na mashine, kupika atakuwa na house helper. Wewe utakwenda ku add values gani kwenye maisha yake?. Remember kuna a lot of human beings, but not valuable ones.
kuna kitu lazima nita Add tuu yani mpka ananioa there must be a thing ambayo ameiona achilia mbali kuadd material thing
 
Kwa hiyo wa chini tutafutane wenyewe, wa juu waendelee kivyao. Mbona maisha hayana fairness kiasi hicho.
Ni kweli life is not fair
Na mwenye nacho anaongezewa

angalia well off guys wanaoa wanawake wa aina gani..most ni wenzao tu
 
Umejibu kisiasa mkuu. Kama hajatulia utakuta kashazaa na wenzio, kufua atakuwa na mashine, kupika atakuwa na house helper. Wewe utakwenda ku add values gani kwenye maisha yake?. Remember kuna a lot of human beings, but not valuable ones.
Huyo mwanamke ni apeche alolo hana chochote?.

navojua wanawake wanajishughulisha sana sikuhizi.,so atakua na kipato na yeye kuchangia where the man is

sasa ukiwa rich ndo usioe?..ama well off guys wanaooa unahisi ni kwanini wanafanya hivyo ilhali wana kila kitu?.kuna muda inafika unahitaji tu mwenzio hata wa kuongea nae usiku ama kushare mawazo,maisha,kupeana company kwenye shughuli nk

cc RRONDO the rich field marshall labda tupe uzoefu😃
 
Wanawake wengi wa kuanzia nao chini wanakua na sura Na shape za baba zao. Hawa ndio wanakua na akili za kutafuta maana wanajijua hawana uzuri wa kuhongwa so njia pekee ya kutoka kimaisha ni kutumia akili na kupambana.
 
Unakuwa umesogezwa karibu na malaika mtoa roho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanawake wengi wa kuanzia nao chini wanakua na sura Na shape za baba zao. Hawa ndio wanakua na akili za kutafuta maana wanajijua hawana uzuri wa kuhongwa so njia pekee ya kutoka kimaisha ni kutumia akili na kupambana.
Mkuu umesem ukweli mtupu lkn unauma
 
Kikubwa kupendana tu haijalishi ana mali au hana mali. Unasema naenda kucontribute nini? Yeye hadi anakuja kunitaka atakuwa anahitaji nini? Mpaka akataka mahusiano basi kuna kitu ameona kinapungua katika maisha yake, hicho ndio nitakachocontribute
Oooh asante karembo kwa mchango murua
 
Hivi mwanaume anapotafuta mwanamke...Kipato cha mwanamke ndo kinatakiwa kuangaliwa...

Dada wewe kuwa nahela haimaanishi Kwamba that is something extra unacho bring apart from vagina..

Kwa mwanaume mwenye hela zake na mafanikio..hizo hela zako wewe Wala Hana habari zako...

Mnavyolazimisha mwanamke abring something else apart from papuchi.
A women makes a house a home, anakuwa tulizo kwa mwanaume analea watoto na kusimamia nyumba..

Wewe mwanamke kuhangaika usiku na machana kutafuta hela wanaume wengi hawapendi..ila hawana namna kwasababu ya Hali ya maisha...

Msilasimishe hoja Kwamba lazima mwanamke nae alete pesa nyumbani eti ndo uanamke wake utimie..NOP

HIYO SIO.KAZI YA MWANAMKE KIASILI.
 
Umejibu kisiasa mkuu. Kama hajatulia utakuta kashazaa na wenzio, kufua atakuwa na mashine, kupika atakuwa na house helper. Wewe utakwenda ku add values gani kwenye maisha yake?. Remember kuna a lot of human beings, but not valuable ones.
Kwaiyo mwanamke kuadd value kwa mwanaume anatakiwa Aweke nayeye mamilion mezani?..hapo ndo ataonekana wathamani?.

Kama Ana washing machine, Ana househelp..na anawatoto 10 KILA mtu na Mama yake...Anaoa Ili iwaje..
.hivi mwanaume mwenye pesa yake ya maaana...ataanza hangaika napesa ya mkewe?

Sisi uchumi wakati na wachini ndo tunachanga mke Wangu ongeaa kwenye laki mbili hapa tukalipe adda ya watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…