Sante babe[emoji8][emoji8]That's my babe,
Beauty with brain.
[emoji177]
Ahsante mrembo...kuna mbuzi imesema eti sijaelwa mada nimekurupuka kuchangia[emoji16][emoji16]Oooh asante karembo kwa mchango murua
Zama hizi Ukimkuta mwanaume ana kila kitu, jiulize mara tatu tatu, sio rahisi akuoe, mtapoteza muda halafu atakuja kumuoa mwingine kabisaa...either atakaeolewa ana mchango wa namna fulani kwenye mafanikio ya huyo mwanaume
Ila wanawake inabidi wajifunze at some point, maisha ya kuanza pamoja from the scratch ni maisha mazuri na yana bond kubwa sana,hii bond inaletwa na your love history, ups and downs, better and worse, mvua na jua...na pia yanakua na value kwenu wote wawili yaani kila mmoja anaona thamani ya mwenzake, upendo wa kweli na uvumilivu.
Sasa wanawake wengine anabahatika kumpata mwenye kila kitu, akifika yeye kazi yake ni total destruction kwa huyo mwanaume, hana uchungu hata wa mali aliyoikuta, hawazi namna ya kuendeleza pale mwenzake alipoishia, hana mawazo chanya, zaidi anataka kuweka tamaa kwa sababu ya ubinafsi, ndio maana wanaume wanawaogopa sana wanawake, tena wanaume wengi ambao wamefanikiwa na hawajabahatika kuoa, huwa wanaogopa kuoa sijui kwa nini...labda kwa sababu ya hizi tabia
Wadada kama ukimkuta mwenza amejiandaa kimaisha na amekamilika, jaribu ku add value kwenye ulichokikuta, kithamini na uweke mchango wako, acha ubinafsi na tamaa, heshimu mali ulizozikuta at the end of the day Mwanaume nae atakuona una thamani na mchango kwa namna fulani kweye maisha yake
Thank you...
Sikuhizi naona trend iliyopo ni we meet somewhere or at the top..kila mtu anatafuta
and why is it always assumed that the woman is broke?.
Hivi hamna wadada wenye hela?.
ukiwa na hela dating broke guys can be difficult..afterall well off guys dont date broke btches either(excuse my language)
Being broke doesnt make you a slut...Sidhani kama ni sahihi sana ila huwa naona broke ladies ndio wengi i will call them sluts, zaidi japo ladies wenye pesa pia hu date broke guys zaidi ya rich guys wanavyo date broke ladies!
If you fux to draw some money from a well off dude to feed your ego and slaying needs then i guess being a bitch aint enough for explanation.Being broke doesnt make you a slut...
the *btches word was a metaphor
Agreed with you , nowadays sluts are everywhere hunting for money and not love, better to beware .If you fux to draw some money from a well off dude to feed your ego and slaying needs then i guess being a bitch aint enough for explanation.
And this covers all ladies trying to slay it up while in real sense they dead broke!
Hiyo mbuzi achana nayo ikileta za kuleta tutaifanya mbogaAhsante mrembo...kuna mbuzi imesema eti sijaelwa mada nimekurupuka kuchangia[emoji16][emoji16]
tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume.
Kweli babe au tumkule na chipsiHiyo mbuzi achana nayo ikileta za kuleta tutaifanya mboga
Then definition ya mali iko flawed kama nyumba na gari ndio mali pekee. Sawa lakini nimeelewaMtoa mada amezitaja pale juu mbona unataka kutusumbua?
Tunaanzia hapo na kuendelea, hata hivyo nadhani hujasoma vizuri sijui una haraka ya wapiThen definition ya mali iko flawed kama nyumba na gari ndio mali pekee. Sawa lakini nimeelewa
nimesoma kaka ila naona ukishasema nyumba na gari huku tz naona ndo tumemaliza kwenye list ya mali. Ndo mana nikasema definition ya mali bado hatujaiweka vzr sawa sawaTunaanzia hapo na kuendelea, hata hivyo nadhani hujasoma vizuri sijui una haraka ya wapi
Hajataja nyumba ns gari pekee ndio maana nimeuliza unakimbilia wapi? Hata hivyo ametaja kama mfano tu, nyumba sio lazima iwe moja hata gari sio lazima liwe mojanimesoma kaka ila naona ukishasema nyumba na gari huku tz naona ndo tumemaliza kwenye list ya mali. Ndo mana nikasema definition ya mali bado hatujaiweka vzr sawa sawa
For the sake of this topic wacha nikatizie ubishani hapa tu inatosha kwa leo.Hajataja nyumba ns gari pekee ndio maana nimeuliza unakimbilia wapi? Hata hivyo ametaja kama mfano tu, nyumba sio lazima iwe moja hata gari sio lazima liwe moja
Hizo ndio zenye thamani ya kutajwa, asa ulitaka mtu alalmikie vijiko na sahani au vistuli?😂😂😂nimesoma kaka ila naona ukishasema nyumba na gari huku tz naona ndo tumemaliza kwenye list ya mali. Ndo mana nikasema definition ya mali bado hatujaiweka vzr sawa sawa
Huyo mpuuz ungemtia tofali tu...Mapema sana!Tatizo wanawake wengi wa hapa Bongo wako na tamaa kama hii ya Hamisa Mobeto, wanamfuata jamaa kisa ana hela ili awe anazitumia tu pesa na kujianika mitandaoni kuwa kapata. In reality hana any contribution katika maendeleo ya huyo mtu. Siku za nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dizaini ya Hamisa na Wema, yule mwanamake alijuwa kuwa nina mke na alijitahidi sana kushindana na mke wangu na kutaka nimuache niwe naye yeye.
Najuwa nilifanya kosa kumcheat mke wangu ila haikuwa nia yangu, huyu mwanamke alikuwa kero kwangu, so kwa kifupi nilidhani ningeduu naye angeniacha alone kumbe sivyo. Mdada alikolea penzi na kunipigia simu hata nikimwambia niko na mke wangu anaanza kubwaka, yaani mimi unaniona sifai siyo?
Namwambia wewe na mimi ni marafiki tu huyu ni mke wangu, anakasirika na kuanza kumsaka mke wangu wajilinganishe. Nilikuja kumuacha aliponiambia nimjengee nyumba kama anayoishi mke wangu na nimnunulie gari kama la mke wangu, nikamtalia na kukata line.....Sasa anasema atanikomesha kwanini nimempotezea muda, yaani wanawake kwa kweli mnaboa sometimes.
Mfano halisi basi! Japo tuelewe hicbo kisichp material thing ni kipi excluding ulichoficha mapajani?Kuna wanaume wanahitaji zaidi ya walivyonavyo..ambavyo si material things.