Ladies mtaniambia kama utafiti wangu upo vizuri

Ladies mtaniambia kama utafiti wangu upo vizuri

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Nimekuja kugundua mabinti wengi ambao wanakutana na ugumu wa kuolewa, inafika hatua wanatamani tu walau kupata mtoto.

Mabinti kumbe uwa mnatamani sana kulea, kuna ka feelings flani huwa mnakatamani ka kunyonyesha mtoto na kulea.

Sasa na mimi nimewaza kutafuta binti wa kumtunuku mimba,

Wanasemaga kuna wanawake akiamua abebe anabeba hata kama mwanamume wake hajalidhia bado.

vigezo vyangu ukiwa navyo nakupa mimba.
na tutalea tu japo economic status ya hii nchi si nzuri kwa vijana ila inawezekana,
uzuri mzee baba hapa mm ni mlinzi mzuri wa kimwili na kiroho pia.

#Family
 
Production ya single maza,, aya wanakuja ila make sure ni handsome,, watoto wa ma single maza ni wazuri mnoooo 😆😆
 
vigezo vyangu ukiwa navyo nakupa mimba.
Hujawapa vigezo sasa watajuaje kama wanavyo.
na tutalea tu japo economic status ya hii nchi si nzuri kwa vijana ila inawezekana,
uzuri mzee baba hapa mm ni mlinzi mzuri wa kimwili na kiroho pia.
Uongo. Hamna mlinzi mzuri anataka kuzalisha mitaani. Mlinzi mzuri anataka kuishi na mwanae hasa kwenye ndoa sio kupunguziwa majukumu kwa kisingizio cha "mwanamke alitamani kulea"
 
Mimi ushauri wangu kwa dada zangu na wanawake wote ni huu

NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA!

Na hata kuzaa ni hivyo hivyo.
 
Mimi ushauri wangu kwa dada zangu na wanawake wote ni huu

NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA!

Na hata kuzaa ni hivyo hivyo.
Ukisema kujielewa unamaanisha kuwa ...? msamiati huu umetoa.
 
Back
Top Bottom