Poetik Justice
Member
- Feb 6, 2009
- 76
- 8
Its great to be a woman! Nina -
Viatu vya designers...(imitation)..Gucci, Chinese Cucci, Next, Nine West, Masai, Kariakoo etc
.....
Viatu vya designers...(imitation)..Gucci, Chinese Cucci, Next, Nine West, Masai, Kariakoo etc
Kwanini imitation, si ununue original tu au?
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.
Vingine havivaliwi, kina msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni kwa nini. Katika kipindi chote nina pairs mbili za viatu ambavyo vile vya 2006 mpaka leo viko kwenyue chati na kila siku navivaa kazini.
Ni huyu Madame Superlady tu au ni kwa Ladies wengi?
Kwa kuwa jukwaa lenu pendwa wapo ladies wengi na gents ambao spouse wao wanaweza kuwapa majibu, naomba tusaidiane kuelewa ni kwa nini?
gaijin, swali zuri. But what if you want to keep up with the joneses but you ain't got the wherewithal? That's when you turn to knockoffs....
Gaijin, swali zuri. But what if you want to keep up with the Joneses but you ain't got the wherewithal? That's when you turn to knockoffs....
ka nakuona vile na suti yako ya banana republic.....
Knockoffs bora za nguo unaweza usishtukie, viatu noma.
Besides kwani lazima uvae vitu vyenye majina ndo upendeze?
Kwangu naona kuvaa knockoffs ni kama kujidanganya mwenyewe tu.
Mkubwa ni aina gani ya ladies unayoongelea? As far as I know majority of Tanzanian ladies hawana hata pair 2 za viatu. Kwao kandambili ndo viatu. Make it clear kind of a lady that ur spouse is,ili niweze changia.
Du!spouse wako kiboko kama Imelda Marcos..Ina maana hatupi viatu? ananunua tu?
Nadhani viatu ni kati vya vitu ambavyo wanawake wanahusudu kwenye maisha yao...
heheh maria roza bana, acha nikauze lile jokofu, nikununulie ka high heel ukawatese gongo la mboto.Mbona vichache sna jmni hebu mfanyie shopping acha ubahili!!!
Nimekusoma mkuu. I wast just being curious.
Superman
Afadhali wa kwako anasubiri kuwe na occasion, wengine wakijiskia stress kidogo tu, huenda kufanya shopping ya viatu.
Akiwa anaumwa kidogo ili ajisikie afadhali, kinanunuliwa kiatu.