CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
yeeuwii, mie hadi hapa ofcn nawabore. zipo pair 5 za viatu. leo nikija na hk afu kikanchosha nabadilishia hum hum. dah haka kaugonjwa ucombe kakupate hakana tiba et!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh!pair mia ni vingi naamini vingine vinapitwa na wakati inapendeza kugawa,,kiukweli wanawake huwa na viatu vingi kuliko wanaume,na vingine vinaweza kumaliza miaka visivaliwe,lengo wakati mwingine ni kumechisha na nguo,au pochi,n.k.Pia usisahau kuwa mwanamke ni pambo anahitaji kubadilika na kupendeza,ila pair 100 ni nyingi kiongozi.