Mh!pair mia ni vingi naamini vingine vinapitwa na wakati inapendeza kugawa,,kiukweli wanawake huwa na viatu vingi kuliko wanaume,na vingine vinaweza kumaliza miaka visivaliwe,lengo wakati mwingine ni kumechisha na nguo,au pochi,n.k.Pia usisahau kuwa mwanamke ni pambo anahitaji kubadilika na kupendeza,ila pair 100 ni nyingi kiongozi.