***ladies only*** kwa wanawake tu.

***ladies only*** kwa wanawake tu.

Bongo Pix Blog

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
213
Reaction score
33
Operesheni ondosha vitambi kwa kina mama.
Wamama wengi siku izi ukikutana nao wanaonekana kama ni wajawazito, lakini si wajawazito, wana vitambi ama viriba tumbo kama wanaume, hii si hali ya kawaida, wengi wao hawajui kwanini wanakuwa na viriba tumbo hivyo na mbaya zaidi hawajui wafanyenini kuondokana na vitambi hivyo. Vitambi hivyo vina athari nyingi sana, za kiafya na kimaumbile.

Kiafya.
Kuendelea kuruhusu vitambi hivyo kukua pasipo kuchukua hatua sitahiki upelekea kupata matatizo mengi ya kiafya yakiwemo:-
· Mgandamano wa taka na sumu tumboni au Corprostasis
· Kukosa choo au Constipation.
· Kiharusi au Stroke
· Uzito uliozidi au Obesity.
· Matatizo ya moyo. Cardiovascular diseases
· Shinikizo la juu la damu au High blood pleasure
· Kisukari au Diabetes
· Saratani. Au cancer
· Kukakamaa kwa mishipa au arterioscelosis. Nk


Haya ni baadhi tu ya magonjwa yanayoweza kumshambulia mtu iwapo hatachukua hatua kuakikisha anakuwa na mwili wenye afya kuwa kutorusu viriba tumbo. Hii ni kwa wanawake na wanaume pia, japo wengi wa wanaume wana fikra potofu kuwa kitambi ni afya au mafanikio Fulani, hiyo si kweli, bali ni matatizo.

Kimuonekano.
Mwanamke anapokuwa na kitambi uwa anapoteza muonekano, avaapo nguo hapendezi kwa sababu tumbo ndio linatangulia, hii ni tofauti sana na tumbo la ujauzito, kwani lile uwa na kwa muda tu na uwa lina mavazi yake maalumu pia ambayo uwafanya baadhi yao kuonekana wanapendeza wanapokuwa atika hali hiyo.


Kiriba tumbo upoteza kabisa shape ama figure ya mtoto wa kike, matokeo yake ni kuwa hakuna nguo atakayovaa ikampendeza, hii imepelekea kinamama wengi kulazimika kuvaa madela tu kama wajawazito kwa kuwa hakuna nguo inayompendeza.


Kampeni hii imekuja maalumu kwa ajili yako wewe mama ambaye unalazimika kuvaa madela muda wote kama mjamzito wakati huna mimba, weye ambaye upendi kuwa na kitambi na tena wakichukia lakini hujui ufanye nini, weye ambaye watamani kuwa na figure ipendezayo ambayo yavutia wengi.

Unahitaji kufata hatua nne muhimu za program hii ambazo ni rahisi sana kufikia kuwa na mwili au figure uipendayo na mwenye afya pia, kwani kwa kufata hatua hizo nne, utaondoa kiriba tumbo na kujikinga na maradhi yoote yaliyotajwa hapo juu na mengine mengi.

Programu hii ya kuondosha kitambi ukiifuata sawasawa inakupa majibu ndani ya mwezi mmoja, ni salama na hakika. JE UNGEPENDA KUFAHAMU HATUA HIZO MUHIMU??? FUATILIA HAPA.

+255 784475576, +255716927070.




THE FOUR STEPS

STEP 1 : DETOXIFY
Detoxification is an indispensable step towards your journey to healthy slimming. When your digestive system is clogged, your body is unable to absorb essential nutrients. Before nourishment or slimming can take place, you must first detoxify your body of excess fats and toxins.

STEP 2 : BURN FAT AND NOURISH

Next is burning fat from the body and getting the right amount of nourishment. You will notice that as fat is burned, your body’s metabolism is improved. You will start feeling lighter and more energetic, and the body becomes better at assimilating vitamins and nutrients from the food that you eat.

STEP 3 : BALANCE AND CLEANSE

Follow-up with a routine that will balance your body’s acidity and alkalinity. Cleanse your system with a rich supply of oxygen. Fortify your immune system with vitamin C and speed up the slimming process with Calcium.

STEP 4 : REJUVENATE
Finish up by rejuvenating the body with a dose of antioxidants that will provide maximum blood and heart health benefits, and proteins for healthier and smoother skin.

 
Back
Top Bottom