Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Kwanza hongera kwa wana Arsenal wenzangu kwa kubeba ndoo ya FA leo. Go Gunners
Back to topic, kwa madada wote mnaotafuta wenza bora wa maisha, kama hufanikiwi katika nyanja hiyo nawashauri jaribu kuanzisha mahusino na mkaka shabiki wa Arsenal.
Faida zake
1. Uvumilivu
Sisi ni wavumilivu sana, hata timu ifungwe goli 8, hatusaliti chama.
Na pia uvumilivu huu unaakisi kwenye mahusiano, tunavumilia changamoto zote za kwenye mahusiano, mara nyingi tukipenda hatuachi, hadi tuachwe sisi.
2. Uaminifu
Tunaamini tulichonacho ndicho tulichopewa na Mungu, hatutafuti kingine.
Tunapenda wapenzi wetu saaana ila sio kama Arsenal, always Arsenal first.
Tukiwa na mchepuko ni ngumu sana ku-maintain mafiga matatu, utajua tu.
3. Sio walevi