Ladies ukipata boyfriend mshabiki wa Arsenal, usimwache

Wajinga ndo huamini kuna gundu, ila ukimwamini Mungu utaona hizo ni fununu tu.

Usichokiona usiamini,labda Mungu unachosikia ndo kabisa yanaweza kuwa majungu

Hakuna tatizo kuwa mjinga,sisi wote ni wajinga at some point....mimi ni mjinga,wewe ni mjinga
 
Sijaona uzi mzuri kama huu kweli mashabika wa gunners tunafanana hapa ndio nathibitisha ule usemi usemao"ndege wanao fanana mabawa huluka pamaja "
 
Aseno mna gundu so obviously Aseno boyfriend hatacheza mbali na gundu la team yake

Leo naona mnatufokea kinyama sisi Chelsii na Depal wazee wa Landani iz bluu
Hahahaha! kuna jamaa alipokuwa shabiki wa arsenal shida zilikua haziishi, baada ya kuachana na hiyo timu sikuhizi anatembelea gari.
 
Hahahaha! kuna jamaa alipokuwa shabiki wa arsenal shida zilikua haziishi, baada ya kuachana na hiyo timu sikuhizi anatembelea gari.
Acha utani..

Kwahiyo unamshaurije Malkia wa Uingereza, Mwanamfalme wa Uingereza, Rais wa Gambia, Rais wa Rwanda, Aliko Dangote na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…