Sasa kilichomwamsha ni chumbani au?Lol, itasaidia ila haimalizi tatizo... Khanga moko navalia chumbani.[/QUOTE]
Khaaaa! tumeambiwa tuschakachue sredi lakini hapo red pamesababisha klorokwini junior kuamka. Mdogo mdogo wajameni wengine tuko kwenye swaumu
ndo zake huyo,akishaanza kukusanya sadaka kanisani anasahu kila kitu.Jana sijui wamevuta ngapi hawa makuhani uchwara.Mambo mabaya kabisa! Halafu we jana nilikwambia nikupe namba yangu ili ukianzisha sredi unistue lakini ukanichunia.......poa tu!!!
hii ni mawasiliano ya simu. Undani wa mawasiliano unakuja kwenye issues zenyewe, mnapenda kuongelea issue zinazoshabihiana na je mnakubaliana. Kuna njemba ambazo zinajifana mnafafana kwenye interests na discussions, na akakubali kila unachomwambia kabla hujamkubalia tunda au ndio gia ya kutongezea. Akipata ****** hulia mbwata na kuonyesha makucha.
Nionyeshe ullivyo nikupende ulivyo, bottom line mwanaume lazima approvide.
Husninyo,punde tu nimepokea E mail toka kwa Eliza wa Tegeta,kaniambia niikopi na kuipest hivo hivo ilivyo bila kutoa chenga,anasema yeye yuko bize na vekesheni hukooooooo Acapulco. Hivyo kesi ya kupiga chabo hainihusu. Inasomeka hivi:
ANGALIZOKupendwa na kuolewa:hivi mtu akikupenda lazima akuoe? Hamuwezi kupendana bila kuoana? strings?conditionality,sikubusu mpaka unifanyie hichi.....,i thought mambo haya yanatakiwa ya flow yenyewe.
Mawasiliano: Yaani hampeani muda wa kupumua kisa mapenzi?mkioana mtaendelea hivo hivo au ndo mwanzo wa kusema 'hunipendi siku hizi' kisa hajajibu sms?
Ushirikishwaji: Huu ndo mwanzo wa kufungwa sasa.Nikushirikishe kwenye mazabe yangu na siku tukikorofishana si utanilipua kwa Kova?
Utambulisho: Anayekupenda ni mimi au ni mama,baba au dada zangu?Ukishawajua ndo muanze umbea na ma sis wangu,'oh wifi afadhali wewe yule Maryam alikuwa ni wa hovyo',inahuu?
Mazingira: Mwenzangu geti kali Masaki mi uswazi choo paspoti saiz nikulete halafu uni dump?lol tutaendelea kukutana steers.
Kunifahamu: Jamani nshakuchojolea,ushaniona unyayo,kabamia hadi utosi,unataka unifahamuje zaidi ya hapo?
Ubahili: yale yaleeeeeeee,pesa sabuni ya roho,sawa bana sisi sakapoko mwaka huu hatuoi,maana hata kazini kwenyewe nauli shughuli.
Ameoa: Si inategemea jamani? labda nina mpango wa kumpiga chini wife nikuoe wewe,au labda dini/kabila inaniruhusu?
Hitimisho: IT IS ALL ABOUT FRICTION,period!
Mambo mabaya kabisa! Halafu we jana nilikwambia nikupe namba yangu ili ukianzisha sredi unistue lakini ukanichunia.......poa tu!!!
Eliza wa Tegeta a.k.a Superwoman ndo kantuma nimrushie post hiyo yeye yuko bize ana cash cheque yake ya !million US dollars hapa benki New york.Bishanga bana mmeambiwa wanaume haiwahusu mbona hivyo
nasubiri unitumie hiyo namba,lol nilivyo na ham nayo,wahi kabla TF hajalog in!mpendwa nilifikiri namba yako ni ile ile kumbe umebadili maana nilikupigia sijakupata! Ndio nini kubadili badili namba? Nitumie hiyo mpya. Halafu post yako ya mwanzo kama umesikitika vile. Hebu funguka kidogo.
Husninyo,punde tu nimepokea E mail toka kwa Eliza wa Tegeta,kaniambia niikopi na kuipest hivo hivo ilivyo bila kutoa chenga,anasema yeye yuko bize na vekesheni hukooooooo Acapulco. Hivyo kesi ya kupiga chabo hainihusu. Inasomeka hivi:
ANGALIZOKupendwa na kuolewa:hivi mtu akikupenda lazima akuoe? Hamuwezi kupendana bila kuoana? strings?conditionality,sikubusu mpaka unifanyie hichi.....,i thought mambo haya yanatakiwa ya flow yenyewe.
Mawasiliano: Yaani hampeani muda wa kupumua kisa mapenzi?mkioana mtaendelea hivo hivo au ndo mwanzo wa kusema 'hunipendi siku hizi' kisa hajajibu sms?
Ushirikishwaji: Huu ndo mwanzo wa kufungwa sasa.Nikushirikishe kwenye mazabe yangu na siku tukikorofishana si utanilipua kwa Kova?
Utambulisho: Anayekupenda ni mimi au ni mama,baba au dada zangu?Ukishawajua ndo muanze umbea na ma sis wangu,'oh wifi afadhali wewe yule Maryam alikuwa ni wa hovyo',inahuu?
Mazingira: Mwenzangu geti kali Masaki mi uswazi choo paspoti saiz nikulete halafu uni dump?lol tutaendelea kukutana steers.
Kunifahamu: Jamani nshakuchojolea,ushaniona unyayo,kabamia hadi utosi,unataka unifahamuje zaidi ya hapo?
Ubahili: yale yaleeeeeeee,pesa sabuni ya roho,sawa bana sisi sakapoko mwaka huu hatuoi,maana hata kazini kwenyewe nauli shughuli.
Ameoa: Si inategemea jamani? labda nina mpango wa kumpiga chini wife nikuoe wewe,au labda dini/kabila inaniruhusu?
Hitimisho: IT IS ALL ABOUT FRICTION,period!
Ni hatari kuvaa kiatu kinachokubana kitaumiza mguu wako.Ni hatari zaidi kuvaa kiatu kikubwa zaidi yako utakiacha njiani.Ni mbaya sana kwenda dukani ukiwa hujui size ya kiatu chako unaweza kuchukua size si yako!Haipendezi kwenda dukani ukiwa unajua size yako kwani sio unayoifikiria!Vp haielewekieeee!Usiogope ndivyo ilivyo!Samawani najua nimeingingia choo cha kike!
Huu ni ukweli mtupuuuuu
Hapa kidogo ni utata, naomba niseme kwamba unaweza kushirikishwa kwa 100% lakini penzi lake liko pande ingine kabisaaaa......kushirikishwa kwako ni kwa vile anaona kuwa una busara za kumshauri na mara zote umekua ukimpa ushauri unaofaa kuliko kile kipenzi chake cha rohoni lol! Kwahiyo msijidanganye hapa na kujipa moyo kuwa maadamu umeshirikishwa na anaendelea kukushirikisha mambo mengi basi wewe ndio chaguo lake la hashaa!!!
Hapa ndio patamu ninapopataka kupasikia.......fungukeni wajameniiiiii tupate darasa hapa.
Samahani nime type fastaaa hapa sijui kama nitakua nimekosea. I'll be back......asante sana Hus uzi mtamu kwelkwel
Thread hii ni maalum kwa wadada hasa waliopo kwenye mahusiano ila bado hawajaolewa na wana mpango endelevu na wenza wao
Wadada wengi wanashindwa kutambua wapi wanapendwa na wapi wanadanganywa. Vigezo vifuatavyo vitakusaidia kutofautisha mwanaume anayekupenda na mwenye mpango wa kukuoa na Yule anaekutumia tu ila hana mpango na wewe.
Mawasiliano:
Mwanaume anaekupenda hawezi kumaliza siku bila kuwasiliana na wewes (kama hakuna external factors zinazosababisha mawasiliano yawe mabovu). Kama wewe ni mtu wa kupiga simu kila siku, kutuma emails lakini mwenzio haoneshi ushirikiano ujue hapo kuna utata.
Ushirikishwaji:
Anaekupenda ni lazima atakushirikisha mambo yake mengi yawe makubwa au madogo. Unaweza shirikishwa kwa namna ya kuombwa ushauri au kupewa taarifa. Kama upo kwenye uhusiano ila unashangaa mambo yanafanyika tu bila kuelewa ujue haupo myoni mwake, haoni kama waweza mshauri la maana na haoni kuna umuhimu wa wewe kujua.
Utambulisho.
Jiangalie kama unatambulika kwa ndugu, rafiki na jamaa zake wa karibu. Kama muda wa kutambulishana rasmi kwa wazazi haujafika, vipi kwa marafiki, wafanyakazi wenzie au makaka na madada!!. Unawafamu marafiki zake wawili wakati anao 30? Utambulisho huwa ni swala gumu kama mwanaume hakupendi na hajivunii kuwa na wewe. mwanaume ambae tayari ana mpenzi mwingine na anatambulika kwa watu wake wa karibu ni mzito kukutambulisha na wewe. inabidi ustuke hapo.
Mazingira.
Unapafahamu anapoishi? Anapofanya kazi? Maeneo anayopenda kutembelea? Kama jibu ni hapana, unahisi ni kwa nini? Kuna sababu nje ya uwezo wenu zinazosababisha usifahamu hayo ulishamwomba ufahamu ila alikataa? Hapa nakuachia utafakari mwenyewe.
Anakufahamu kiasi gani?
Kama upo na mpenzi lakini haoneshi interests za kutaka kukufahamu zaidi inabidi ujiulize mara mbili mbili. Kwa mfano, mpenzi wako anajua jina lako na mahali unapoishi tu. Hajui mazingira unayoishi, kazi unayofanya, hajui ndugu zako hata kwa kuwasikia ujue huyo mwanaume hakupendi. Anaekupenda ataandika kitabu kizima kukudescribe lakini asiyekupenda hata page 1 haitojaa.
Ubahili/ubinafsi
Hapa ni kwa wenye wapenzi wenye uwezo mzuri kifedha. Angalia kama anasikiliza shida zako na kujaribu kuzitatua. Inawezekana hakujali na hakuhudumii kipesa kwa sababu ana mpenzi mwingine ambae ameelekeza huko matumizi yake. Pengine hakuamini, anahisi hata akikuhudumia utamtosa; ila kama anashindwa kukuamini anawezaje kukupenda? Mtu wa hivyo hata upendo wake ni wa mashaka. Kama hana uwezo kifedha je anakuwa na wewe bega kwa bega unapokuwa na shida? Anayekupenda atakujali wakati wa shida na raha.
Ameoa.
Kama Unahitaji life partner halafu una date mume wa mtu ujue umepotea. Cha mtu ni cha mtu na mwanaume haoi kwa bahati mbaya. Probability ya kuolewa na huyo mwanaume ni 0.000000000000001. hapa huitaji kuambiwa jua linawaka au mvua inanyesha. Akili kichwani mwako.
NB: kigezo kimoja hakitoshi kuconclude kuwa hupendwi. Usisubiri mpaka mwanaume akutamkie kuwa hakupendi. Katika vigezo vyote hivyo nina mifano ya ukweli ambayo imewahi kunikuta mimi, ndugu zangu na marafiki.
Mnaweza kutuambia mlipima vipi upendo wa wenzi wenu hadi kuona kuwa wanafaa kuwa husbands.KWA WALIOOLEWA:
Haina ubishi kwamba mmekuja kuchungulia, haya semeni kama una date na binti ambae huna mpango wa kumuoa huwa mnabehave vipi? Au kaka zenu na marafiki wanawatreat vipi wapenzi wao wa mpito( najua huwa mnahadithiana. Lol)KWA WANAUME:
Nakaribisha maoni, nyongeza, masahihisho etc. karibuni, jisikieni kama mmeuanza mwaka mpya wa2012, anaetaka vinywaji achukue kwenye jokofu.
uzee dawa wewe,haya nambie we na bf mnatarajia kuoana au ndo yale yale?hahahahahahaha! Bishanga umeniacha hoi. Swali moja ambalo nimeliona linahitaji majibu ni hilo la ukimpenda mtu lazima umuoe. Jibu ni hapana na ndio maana mwanzo wa thread nilisema kwa wadada ambao wana wapenzi na ambao wanataraji kuwa waume zao wa ndoa. Acha vituko halafu, au ndio unazeeka vibaya?
nilijua lazima waje, nikawaekea swali lao. Nashangaa wamependa mambo yetu.
which begs a question Koku,huwezi kuwa rafiki na mtu mpaka mvalishane pete?Ni kweli kabisa HUS... Yamenikuta hayoo. Kuja kujua mshkaji hakuwa kweli serious kuwa na future na mimi nilikuwa too late. Ilinipain sana, sbbu nilikuwa nimejitoa kiukweli na alikuwa na ananipa matumaini chanya. Leo nimesoma hii thread no nimetafakarii na nimegundua kuna ukweli kabisa, na yaliyonitokea ni kweli yanaendana na idea yako.
Kwa wanaume msio wakwwli kwa wapenzi wenu, please at the beggining of mahusiano yenu, ni vema ukawa muwazi kabisaaa on what kind of relation unahtaji kwa hyo mpenzi wako. i.e wakuzugia, short time, long term friendship without marriage, mchumba na baadae awe mke e.tc. Mnatuuumizaga sana psychologically.
na nyie tunaweza kuwafanyia kila kitu na bado mkatufanzia,uongo?Mapenzi hayana formular hata kidogo, na ndoa ni maajaliwa, waweza pigiwa simu hata mara 30 kwa siku, waweza tambulishwa hadi kwa bosi wake, waweza hudumiwa sijui kama nini vile lakini mwisho wa siku kutendwa kunatokea.....so mama huu msaafu uliouweka hapa sidhani kama ni universal principles
Ni kweli kabisa HUS... Yamenikuta hayoo. Kuja kujua mshkaji hakuwa kweli serious kuwa na future na mimi nilikuwa too late. Ilinipain sana, sbbu nilikuwa nimejitoa kiukweli na alikuwa na ananipa matumaini chanya. Leo nimesoma hii thread no nimetafakarii na nimegundua kuna ukweli kabisa, na yaliyonitokea ni kweli yanaendana na idea yako.