Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
- Thread starter
- #301
Wewe ndiye uliniacha solemba Hus,
Mie nilibembeleza wote hadi mjukuu wa mwisho akaishia usingizini!!!
Babu DC!!
halafu babu unaona kazi ilivyo nzito? Kuna kila dalili bishanga anataka kuharibu matunda ya wajukuu. Sijui tufanye maana sipendi kuona wajukuu wenzangu wanaharibiwa.