Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Wewe ndiye uliniacha solemba Hus,

Mie nilibembeleza wote hadi mjukuu wa mwisho akaishia usingizini!!!

Babu DC!!

halafu babu unaona kazi ilivyo nzito? Kuna kila dalili bishanga anataka kuharibu matunda ya wajukuu. Sijui tufanye maana sipendi kuona wajukuu wenzangu wanaharibiwa.
 
Kazi ipo tena si mchezo Hus,

Ila wale ambao wamebakiza walau chembe chembe ya viakili kichwani tutawaokoa tu. Lakini wale mcharuko ambao wako kwenye fungu la kukosa...ndo hivyo tena...Ni kuachana nao na endelea mbele tu, sasa utafanyaje????....!!
 
babu inabidi tuwe na strategies za uhakika ili tuokoe wote.
 
kweli, wagumu tutawachinjia baharini.

Hus

Yaani taabu kweli kuwa mzazi...Ukifikiria katoto kako kalivyokuwa kama malaika baada ya kuzaliwa halafu sasa ukaona kanafanywa kitambaa cha kudekia kila mahali....Inauma sana tena sana!!
 
Utakuwa kwenye waiting list, incase mmoja akidrop then utaziba pengo, ila Bishanga amekutangulia. principle ya hapa ni first come first saved!
well noted mrembo ,na mek sure huchakachui hii list coz i gt strong feelings my turn z coming very soon.
 
Hus

Yaani taabu kweli kuwa mzazi...Ukifikiria katoto kako kalivyokuwa kama malaika baada ya kuzaliwa halafu sasa ukaona kanafanywa kitambaa cha kudekia kila mahali....Inauma sana tena sana!!

babu kweli inauma hasa mtoto unamuhudumia kila kitu lakini anafanya upuuzi. Babu hebu niambie utareact vipi binti yako wa miaka 20 anarudi na mimba?
 
Hus,

Hayo mambo yasikie kwa majirani....Omba tu Mungu yasikutokee...Uchungu wake unakaribia wa kuibiwa mwenzi wako!!

Hata sitaki ku-imagine!!
 
ooh! Natumai huwa unaongea na mjukuu mwenzetu wa nyumbani mawili matatu kuhusu haya. Tutajitahidi tusiwadisappoint wazazi.
 
Wewe mwenyewe si unaona..tunaongea sana hadi tunakesha...

Ila unadhani hawa wakujukuu wa siku hizi wanasikia basi???.....Yaani ni taabu tupu kuwa mzazi siku hizi!!
 
mbona unatutisha wazazi watarajiwa! Lol. Ila sio kwamba wazazi wengi ni kama hawana muda wa kukaa na watoto wao kujadili haya mambo na ndio maana wajukuu wengi wanaangukia pua?
 
Back
Top Bottom