Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Hakuna tatizo lolote mkuu wanasema kilichopo tumia kisichopo jutia.

Maana hata maandiko yanasema jisaidie nawe utasaidiwa, sasa ukibana mapaja na sir god si atabana rizki mzee?
Maandiko ya wapi yanasema hivyo? Unaweza kunipa nukuu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba unaweza kupoteza hata bikra yako mbele ya HR asie na maadili.

hivi mkuu hujui kua kwa hao ma HR wanawake wanajitongozesha kupata urahisi!?, kupata mteremko,

demu aliepoteza bikra kisa ufuto wa penseli ashindwe kugawa uroda mbele ya kazi!? tena life la kitaa limeshamnyoosha.

naomba nitoe mfano kuhusu mimi binafsi. mademu kibao nawafaham wanajitongozesha ili tu as a head of dptment niwafanyie hta mpango wasogezwe kazini hta kma ni kuvolunteer, .

tatizo ni wao wenyewe ila sio sisi. na hawaharibikiwi totally maana mtu anapiga vitatu vyake anasepa haachi hta alama!.
 
Hicho na mimi ndio nilikuwa nasema. Yaani mtu umegawa kwa wanaume zaidi ya kumi huko hawajakufanyia chochote zaidi ya kukuachia shimo halafu umbanie HR ambae anakupa maisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika gazeti afu hao wadada wenyewe wanakushangaa.
Hujui starehe mojawapo ya wadada ni kutembea na mabosi zao ili mambo yawe kitonga na uhakika wa kuishi (ajira).
Bora ukaandike jarida ya balanced diet maana una kipaji na kingreza unacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee...mwenye macho haambiwi ona, na mwenye masikio haambiwi sikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…