Nashangaa wanawake wanaounga mkono mtu kutoa uchi ili kupata kazi. Lakini nawashangaa zaidi wanaume wanaounga mkono huu ujinga.
Hivi tutakuwa wababa wa aina gani kwa mabinti zetu kama swala dogo kama hili tu tunashindwa kusimamia kwenye maadili.
Competency is a rare commmodity. Kwenye dunia hii ya ushindani, pambana upate skills zitakokusaidia kukufanya ustand-up kwenye crowd ya waomba kazi wengine.
Lakini haya mambo ya kutoa uchi, utatoa hadi kupata promotion kazini, utatoa kupata ada za watoto, utatoa kulipa vicoba.