Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Wewe ni mwoga sana. Unakata tamaa kirahisi sana.

Yaani kuna mtu kama Zurri angefungua uzi kama huu, angekomaa nao hadi watu wamwachie uzi waondoke.

Kusema hautaandika kuhusu watu tena unamaanisha pengine upo sahihi ila watu wanaamua kukukomoa kwa kupinga.

Sasa kama ni hivo komaa mpaka mwisho, usikate tamaa kirahisi hivi ni udhaifu.
Daah.
 
I think watu wamekariri sijui kuwa mabosi wooote watu wabaya na wana ngoma
Wengine mbona watu wazuri tu..it depends unakutana na nani

Uzi mzima thamani thamaniii....fanya hio thamani ikulishe basi[emoji28]

Kaandika ukweli mtupu ila the right things are always difficult!
Na haviku'guarantee kutoka!!
Ilà kumbuka bosi(HR) anapokea watu kila siku, anawagonga kwa style hiyo kila mara, mnaomba kazi kumi, anawala wote na kumpa kazi mmoja tu.
 
Ngono ili kupata kazi ni rushwa kama rushwa zingine, inafanya kampuni/ofisi ku-hire incompetent stuff, watu ambao wanaingia kazini bila sifa stahiki(hapa ndio tunaendelea kusema mwanamke asipowezeshwa hawezi). Kwa nini ukubali huu usemi katika maisha yako? Usipowezeshwa huwezi, kwamba usipotoa mwili wako utazidi kusota sio kweli, unaingia kufanya volunteering kwa rushwa then baada ya mda unaambiwa hutapata mkataba, yet ulitoa uchi ili uingizwe ofisini.

Rushwa ya ngono makazini ni moja ya rushwa mbaya sana, inalidhoofisha taifa.
 
Mkuu sio tamaa ya vitu vilivyo nje ya uwezo wetu, ni kwamba jamii ya sasa imeoza. Hivi kwa mfano kazi ipo ya graduate na wewe ni graduate ila boss anataka nyapu ndio akuajiri ingawa sifa unazo...hivi hapo utasema unatamani vitu vilivyo nje ya uwezo wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeap..mpotezee check next option mkuu....ndo kuvumilia kwenyew nakozungumziwa...utaliwa na wangap sasa mkuu...
 
Ngono ili kupata kazi ni rushwa kama rushwa zingine, inafanya kampuni/ofisi ku-hire incompetent stuff, watu ambao wanaingia kazini bila sifa stahiki(hapa ndio tunaendelea kusema mwanamke asipowezeshwa hawezi). Kwa nini ukubali huu usemi katika maisha yako? Usipowezeshwa huwezi, kwamba usipotoa mwili wako utazidi kusota sio kweli, unaingia kufanya volunteering kwa rushwa then baada ya mda unaambiwa hutapata mkataba, yet ulitoa uchi ili uingizwe ofisini.

Rushwa ya ngono makazini ni moja ya rushwa mbaya sana, inalidhoofisha taifa.
Mkuu things are pretty miserable to ladies, nimefanya kuwakumbusha wasimamie utu wao ila wananishushua mm kama vile nimetenda jambo baya zaidi ya hao HR
 
Ilà kumbuka bosi(HR) anapokea watu kila siku, anawagonga kwa style hiyo kila mara, mnaomba kazi kumi, anawala wote na kumpa kazi mmoja tu.
I think inaapply kwa zaidi ya HR/kuomba kazi
Maisha ni kujaribu popote
 
Back
Top Bottom