Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Mkuu, Unampigia mbuzi gitaaa
Na huo ndio ukweli
Na huo ndio ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next life ..nitamuomba Mungu nikutane nae ili nimuone tu [emoji23]Hahaha nimeelewa kwa nini umemhusisha mishil kwenye hili. Mwanamke alikuwa mafia yule, aliniacha hoi tu kitendo cha kumiliki wanaume wawili kwa mpigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine ni wakubwa kabisa wana mviHivyo hivyo shangazi.
Sent from my Nokia 7.1 using Tapatalk
Hahaha hatari sana yule mwanamke, omba uje uwe mtu muhimu utamuoa kabisaNext life ..nitamuomba Mungu nikutane nae ili nimuone tu [emoji23]
Tena usikute huko kwingine umekopwa mara kadhaa....Hivi kama ulishaanza kufanya mapenzi na pengine jana tu umetoka kufanya HR kakuomba siku moja tu unakuwa na kipi cha kupoteza? Nauliza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata iwe mara kadhaa, alikuwa anakopwa totallyTena usikute huko kwingine umekopwa mara kadhaa....
Hunitakii mema.. anaeza niuza akipewa mchongo wa kuwa kiongozi wa heavenHahaha hatari sana yule mwanamke, omba uje uwe mtu muhimu utamuoa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah.Wewe ni mwoga sana. Unakata tamaa kirahisi sana.
Yaani kuna mtu kama Zurri angefungua uzi kama huu, angekomaa nao hadi watu wamwachie uzi waondoke.
Kusema hautaandika kuhusu watu tena unamaanisha pengine upo sahihi ila watu wanaamua kukukomoa kwa kupinga.
Sasa kama ni hivo komaa mpaka mwisho, usikate tamaa kirahisi hivi ni udhaifu.
Ilà kumbuka bosi(HR) anapokea watu kila siku, anawagonga kwa style hiyo kila mara, mnaomba kazi kumi, anawala wote na kumpa kazi mmoja tu.I think watu wamekariri sijui kuwa mabosi wooote watu wabaya na wana ngoma
Wengine mbona watu wazuri tu..it depends unakutana na nani
Uzi mzima thamani thamaniii....fanya hio thamani ikulishe basi[emoji28]
Kaandika ukweli mtupu ila the right things are always difficult!
Na haviku'guarantee kutoka!!
Afu anatokea mtu anakupa kibarua, tena utaanza kupaka poda, wanja, perfume, utaanza kuwa na kokoko, mablauzi na masketi yenye heshima zake..!!! KUNA WAKATI WATU WANAONGEA JINSI VITU VINAVYOTAKIWA KUWA, NA SI HALI HALISI ILIVYO
Unatakiwa umpe mume kila anapohitaji, yaani wewe toa tu utamu hadi aseme asante mke wangu[emoji23]Kuchoka +usingizi.
Hahaha lakini si itakuwa umeshampataHunitakii mema.. anaeza niuza akipewa mchongo wa kuwa kiongozi wa heaven
Yeap..mpotezee check next option mkuu....ndo kuvumilia kwenyew nakozungumziwa...utaliwa na wangap sasa mkuu...Mkuu sio tamaa ya vitu vilivyo nje ya uwezo wetu, ni kwamba jamii ya sasa imeoza. Hivi kwa mfano kazi ipo ya graduate na wewe ni graduate ila boss anataka nyapu ndio akuajiri ingawa sifa unazo...hivi hapo utasema unatamani vitu vilivyo nje ya uwezo wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu things are pretty miserable to ladies, nimefanya kuwakumbusha wasimamie utu wao ila wananishushua mm kama vile nimetenda jambo baya zaidi ya hao HRNgono ili kupata kazi ni rushwa kama rushwa zingine, inafanya kampuni/ofisi ku-hire incompetent stuff, watu ambao wanaingia kazini bila sifa stahiki(hapa ndio tunaendelea kusema mwanamke asipowezeshwa hawezi). Kwa nini ukubali huu usemi katika maisha yako? Usipowezeshwa huwezi, kwamba usipotoa mwili wako utazidi kusota sio kweli, unaingia kufanya volunteering kwa rushwa then baada ya mda unaambiwa hutapata mkataba, yet ulitoa uchi ili uingizwe ofisini.
Rushwa ya ngono makazini ni moja ya rushwa mbaya sana, inalidhoofisha taifa.
I think inaapply kwa zaidi ya HR/kuomba kaziIlà kumbuka bosi(HR) anapokea watu kila siku, anawagonga kwa style hiyo kila mara, mnaomba kazi kumi, anawala wote na kumpa kazi mmoja tu.