Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Inategemea mpaka wakati huo nimewapa wangapi. Kama nina msururu sina cha kupotezaYeap..mpotezee check next option mkuu....ndo kuvumilia kwenyew nakozungumziwa...utaliwa na wangap sasa mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea mpaka wakati huo nimewapa wangapi. Kama nina msururu sina cha kupotezaYeap..mpotezee check next option mkuu....ndo kuvumilia kwenyew nakozungumziwa...utaliwa na wangap sasa mkuu...
wanawake wenyewe wanaona poa tu na wamezoea..AseeHe he mkuu hujaandika kitu cha kipuuzi ila kusema mtu kuwa mvumilivu kwa tabu za maisha hapo tunadanganyana! Solution ni kutatua shida walizonazo,shida zitakazowafanya wasithaminike,shida zinazowavulisha pichu bila kupenda!.
Mtu akiwa na shida atatafuta mlango wa kutokea so ni vyema kuwa na milango kabla ya shida maana nasi mijanaume tuko vyema kuvitafuna vitafunwa😂
Unakuta mtoto ni mtoto kweli ukimuacha mpk unajihisi unahatia maishani umemkosea Mungu na shetani kwa wakati mmoja!! Nature still the nature mkuu😜
Wakileta twala but in a safely way ili kuhakiki hakuna kinachoharibika
Ha ha! Let's eat them😜wanawake wenyewe wanaona poa tu na wamezoea..Asee
Kuliwa kiboga na maisha ndo kufanyajeWewee weweee wewee wewee kuna kipindi maisha yanakula kiboga inakuwa no way. ..
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4]..wajua wapi pa kunitafuta mpendwa wangu.Kwema I knda miss to se you
[emoji3][emoji3] mbona umedhiba maso?Pm?[emoji85][emoji85][emoji85]
Ukweli mtupu.Unakuta girl kaanza na kiboy friend chake toka A level,Chuo mpaka wanahitimu pamoja and then kwa bahati mbaya au nzuri man ndo anawahi kupata kazi baada ya miezi kadhaa tu jamaa dharau zinaanza anampiga chini demu anabaki kusota mtaani siku zinakata so likitokea shavu kwa HR LA kumvusha kwenye maisha yake akatae kisa kunanua mapaja wakati kuna mtu kama mimi nilikuwa napewa bure kwa moyo wote na nikaishia kumuacha kwenye mataa sio kwamba nawahimiza kufanya hivyo hapana ila ugumu wa maisha kuuvumilia kwa sababu tu ya kutaka kutakasika milele not right coz no body perfect
Baya moja halihalalishi baya lingineUnakuta girl kaanza na kiboy friend chake toka A level,Chuo mpaka wanahitimu pamoja and then kwa bahati mbaya au nzuri man ndo anawahi kupata kazi baada ya miezi kadhaa tu jamaa dharau zinaanza anampiga chini demu anabaki kusota mtaani siku zinakata so likitokea shavu kwa HR LA kumvusha kwenye maisha yake akatae kisa kunanua mapaja wakati kuna mtu kama mimi nilikuwa napewa bure kwa moyo wote na nikaishia kumuacha kwenye mataa sio kwamba nawahimiza kufanya hivyo hapana ila ugumu wa maisha kuuvumilia kwa sababu tu ya kutaka kutakasika milele not right coz no body perfect
Heri lawama kuliko fedhehaBaya moja halihalalishi baya lingine