Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Yeap..mpotezee check next option mkuu....ndo kuvumilia kwenyew nakozungumziwa...utaliwa na wangap sasa mkuu...
Inategemea mpaka wakati huo nimewapa wangapi. Kama nina msururu sina cha kupoteza
 
He he mkuu hujaandika kitu cha kipuuzi ila kusema mtu kuwa mvumilivu kwa tabu za maisha hapo tunadanganyana! Solution ni kutatua shida walizonazo,shida zitakazowafanya wasithaminike,shida zinazowavulisha pichu bila kupenda!.
Mtu akiwa na shida atatafuta mlango wa kutokea so ni vyema kuwa na milango kabla ya shida maana nasi mijanaume tuko vyema kuvitafuna vitafunwa😂
Unakuta mtoto ni mtoto kweli ukimuacha mpk unajihisi unahatia maishani umemkosea Mungu na shetani kwa wakati mmoja!! Nature still the nature mkuu😜
Wakileta twala but in a safely way ili kuhakiki hakuna kinachoharibika
wanawake wenyewe wanaona poa tu na wamezoea..Asee
 
Unakuta girl kaanza na kiboy friend chake toka A level,Chuo mpaka wanahitimu pamoja and then kwa bahati mbaya au nzuri man ndo anawahi kupata kazi baada ya miezi kadhaa tu jamaa dharau zinaanza anampiga chini demu anabaki kusota mtaani siku zinakata so likitokea shavu kwa HR LA kumvusha kwenye maisha yake akatae kisa kunanua mapaja wakati kuna mtu kama mimi nilikuwa napewa bure kwa moyo wote na nikaishia kumuacha kwenye mataa sio kwamba nawahimiza kufanya hivyo hapana ila ugumu wa maisha kuuvumilia kwa sababu tu ya kutaka kutakasika milele not right coz no body perfect
 
Ukweli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, mkuu huu ujumbe ni mzuri sana lakini kumbuka masuala ya ngono hufanyika hata bila malengo ya kupata kazi, mitaani wanafunzi kwa wahitimu wanagongwa na vijana pamoja na wazee, kwa mantiki hii mimi naona wadada kwa wakaka waache kufanya ngono kabisa kabla ya kuoa au kuolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta girl kaanza na kiboy friend chake toka A level,Chuo mpaka wanahitimu pamoja and then kwa bahati mbaya au nzuri man ndo anawahi kupata kazi baada ya miezi kadhaa tu jamaa dharau zinaanza anampiga chini demu anabaki kusota mtaani siku zinakata so likitokea shavu kwa HR LA kumvusha kwenye maisha yake akatae kisa kunanua mapaja wakati kuna mtu kama mimi nilikuwa napewa bure kwa moyo wote na nikaishia kumuacha kwenye mataa sio kwamba nawahimiza kufanya hivyo hapana ila ugumu wa maisha kuuvumilia kwa sababu tu ya kutaka kutakasika milele not right coz no body perfect
Baya moja halihalalishi baya lingine
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom