Ladies, what do you wear in bed?

Ladies, what do you wear in bed?

...heheh!, sawa basi.

Kusema kweli huwa sithubutu kwenda kwa bed #teamwithout#
Huwa nawaza suppose kitu kitokee usiku, uhitaji kukimbiaa...
Hahaha me tangu nikiwa mdogo ni #teamwithout#, sijui ilkuwaje tu. Hivi uzeeni najitahidi kujifunga khanga, ambayo hadi ifike asubuhi basi ntaikuta chini. Otherwise nikiwa mikoa ya baridi, navaa zangu track
 
...unaonaje kuhusu 'kumpa kazi jamaa'
Kwenda mzima mzima naona kama it's too easy for him. Ingawa naona wengi humu wamependa namba 8. Kumpa kazi ya kuzitoa naona zawadi yake kama kubwa zaidi.
 
...unaonaje kuhusu 'kumpa kazi jamaa'
Kwenda mzima mzima naona kama it's too easy for him. Ingawa naona wengi humu wamependa namba 8. Kumpa kazi ya kuzitoa naona zawadi yake kama kubwa.
Hahaha kui maswali gani haya watoto hata hawajalala. Wengi wanapenda namba 8 as inakuwa tu rahisi "kuingia". Sometimes ni nzuri pia kama utampa task ya kuchojoa yeye mwenyewe. Ingawa ndugu zetu walivyo na pressure usishangae kuchaniwa/ kukatiwa pant yako kisa haraka zao. Yani anaona kama unamtilia kiwingu teh, anachelewa mweee
 
...unaonaje kuhusu 'kumpa kazi jamaa'
Kwenda mzima mzima naona kama it's too easy for him. Ingawa naona wengi humu wamependa namba 8. Kumpa kazi ya kuzitoa naona zawadi yake kama kubwa zaidi.
Heeeee...Kui

unamfundisha nini Heaven?
 
Hahaha kui maswali gani haya watoto hata hawajalala. Wengi wanapenda namba 8 as inakuwa tu rahisi "kuingia". Sometimes ni nzuri pia kama utampa task ya kuchojoa yeye mwenyewe. Ingawa ndugu zetu walivyo na pressure usishangae kuchaniwa/ kukatiwa pant yako kisa haraka zao. Yani anaona kama unamtilia kiwingu teh, anachelewa mweee

😀😀
 
Back
Top Bottom