Ladies, what do you wear in bed?

Huo urahisi sasa naona kama una walemaza and then inakuwa too common for them.

Yaani yeye ni kuja tu na kuingia bila hata hodi!..
Hapana kwa kweli.
 
Kingston boy, won't you come take a walk with me
Nikupeleke hadi Mbeya, come back home.....

To take a walk with you huhuhu...unajua sina cha kusema hapa

You know how to heal my broken heart and
bring it back to life.
 
Huo urahisi sasa naona kama una walemaza and then inakuwa too common for them.

Yaani yeye ni kuja tu na kuingia bila hata hodi!..
Hapana kwa kweli.
Hahaha wanadumbukiza tu mwenzangu. Huo ufilipino unakuwepo zaidi huku kwenye urafiki sugu, ikifika kwenye ndoa baada ya miaka mmh, anapita tu shaaaa

(haha kui you bring out the worst in me lol)
 
kumbe una experience nzito hivi, nilikuwa nashangaa kila siku kuombwa hela za pants kumbe hii ndio shughuli inayofanyika!! Naomba baba yako Kaboom asisome hapa maana anaweza zimia.

Hahaha wanadumbukiza tu mwenzangu. Huo ufilipino unakuwepo zaidi huku kwenye urafiki sugu, ikifika kwenye ndoa baada ya miaka mmh, anapita tu shaaaa

(haha kui you bring out the worst in me lol)

Hahhaaaaa!, gaaaal!, am speechless...lol!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewee!
haijampata dereva ndo mana iko hivi!
Kuna madhara ya kuisimamisha miaka na miaka bila kuendrshwa?
Kuna mafuta kwenye tank au nije nayo kabisa...linahitaji service kwanza maana sidhani kama ulikumbuka kuliweka juu ya mawe, usihofu I'm a qualified mechanical engineer, kila kitu kitakuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…